Mkuu wa Mkoa Chalamila ahudhuria kwa Mwamposa kuombewa

Madhabau!
Atowa!
Hawa watoto ni hatari sana.
Ndiyo wanaweza kipambanua tofauti za MoU na contract kweli???? Kweli??
 
Daah kwny pita pita zangu nikakutana nayo WASAFI TV live ,chalamila kamuwakilisha bi mkubwa kwa mwamposa na bahasha ya kaki imejaa mzigo,noma km oxygen yuko kila sehemu
 
........wabongo bana, kunya anye kuku, akinya bata kaharisha, waamini kila siku wanatoka sadaka lakini leo katoa mama imekuwa nongwa, tubadilike aisee na yeye nje ya urais ni binadamu ambaye anamuamini na kumuabudu Mungu, sijui nani kawaambia kiongozi akitoa pesa yake sehemu maana yake kakwapua BOT, umasikini umetuathiri hadi vichwani....
.......mama kama binadamu anaweza kuwa na mapungufu yake, lakini basi tuwe tunalalamika kwenye vitu vya msingi vinginevyo tunaonekana tuna gubu tu, yaani hadi sadaka duuh!!, sijui angesema anajenga kanisa ingekuwaje, yaani hadi mjadala umechange na kuingiza mambo ya yanga na bandari, hatari sana bongo kiongozi hana haki ya kushiriki social issues.....
 
Jana bungeni alivyokuwa anaongea Waitara huwezi kuamini kama ndio Waitara huyu huyu siku chache zilizopita alikuwa analia bungeni.

Kweli Dubai ni mwisho wa matatizo.
 
Mbu mbu wanajulikana tu. Itawasaidia nini WAKATI WANAKUBALI NCHI KUNYONYWA KUUZWA KUIBA KUSAHAU RAIA WAO?!
Tunawasubiri 2025!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…