Mkuu wa Mkoa Chalamila ahudhuria kwa Mwamposa kuombewa

... mbweha wana mapango na ndege wa angani wana viota bali mwana wa mtu hana pahala pa kulaza kichwa chake! Manabii wa leo wanamiliki mali nyingi na majumba ya kifahari.
WAGALATIA 1

8. Lakini, hata kama mmoja wetu au malaika kutoka mbinguni, atawahubirieni injili tofauti na ile tuliyowahubirieni sisi, basi huyo na alaaniwe!

9. Tulikwisha sema, na sasa nasema tena: Kama mtu yeyote anawahubirieni injili ya aina nyingine, tofauti na ile mliyokwisha pokea, huyo na alaaniwe!

10. Sasa nataka kibali cha nani: Cha binadamu, ama cha Mungu? Au je, nataka kuwapendeza watu? Kama ningefanya hivyo, mimi singekuwa kamwe mtumishi wa Kristo.

11. Ndugu, napenda mfahamu kwamba ile Injili niliyoihubiri si ujumbe wa kibinadamu.

12. Wala mimi sikuipokea kutoka kwa binadamu, wala sikufundishwa na mtu. Yesu Kristo mwenyewe ndiye aliyenifunulia.
 
Mwamposa ni Mackenzie aliyepoa
 
Wajinga ndiyo waliowao
 

Bado azma yetu ni Ile Ile! Tutafanya ibada ya maombolezo na kugonga kengele mara3 kuashiria msiba. Nchi hii tumepewa na Mungu,bandari,mbuga,madini no vinginevyo vingi. Leo hii vinatolewa kwa wageni Kwa manufaa ya wachache huku Wana wa Mungu aliowapa nchi wakiteseka,na wanaotutesa wakitujibu Kwa kiburi,kejeli,dharau na uongo. Mbele zake Mungu itajulijana sadaka ya mwenye haki ni ipi kama ilivyokuwa Kwa Kaini na Habili. Mungu hatanyamaza.
 
Serikali ya Tanzania haina dini, ila wananchi wana dini zao.
Hii sadaka ya mheshimiwa Rais kwa Mwamposa ni ya kutoka serikalini au ni yake binafsi.
Kama ni yake binafsi, tangu lini alijiunga na kanisa hilo? Kwa nini hakupeleka kwenye nyumba yake ya ibada?
Hata hivyo, sadaka iliyo kuu kuliko zote kutoka kwa kiongozi wa serikali ni kuhudumia wananchi kwa kutumia Kodi zao.
 
Ubia kati ya watumishi wa Mungu na wanasiasa katika kuwapumbaza wananchi
 
Daah! Nimewaza sana nje ya nada. Hivi Ridh1 Kikwete akifanya ufisadi Samia atamtumbua? Hivi urafk wa kina Rostam na Kikwete ulishaisha? Hivi urafk wa Manji na Ridh 1 ulikuwa ni kwa ajili ya Yangu tu na sio makando kando mengeni ya Manji? Mama yetu alimainisha nn kuwaambia wasaidizi wake wale kwa urefu wa kamba zao? Au alikuwa anawatania? JE UREFU WA KAMBA YA MAMA HAIWEZI KUWA NI HII BANDARI YETU? Nimewaza tu jamani
 
Sielewi kwann nimesoma kichwa cha habar nikaangua kicheko 🤣🤣🤣🤣
 
Hapa hoja ni sadaka, urafiki wa watu ni mengine tena.
 
Hizo pesa zimetoka ofis ya mkuu wa mkoa wala hazikutoka kwa mama,siasa zimekuwa nyingi za kulazimisha kukubalika anaewapa ugali
 
Zile sadaka katoa Rc mwenyewe mengine yote ni uongo mtupu anawahadaa wajinga watakaoamini maneno yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…