Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Sawa, serikali huwa inafuta hata hati za viwanja ikiwa inavitaka, so nin issue ndogo tu.Hauwezi kufutwa kwani mikataba tayari walikwishapewa kwa maandishi na picha wafanyabiashara wa awali na mkuu wa mkoa alikazia hivyo kabla ya kubadili gia angani na kuwagawia ndugu zao.
Ifute iwape kwa ushindani, naskia kibanda hapa Zakhem ni laki moja kwa mwezi wakati vikitolewa kwa ushindani haitakuwa chini ya laki tano.