Mkuu wa Mkoa, jukumu la kuwaondoa Wamachinga ni lako. Usilikwepe

Tarehe 13/09/2021 imepita swala la kuwaondoa wamachinga limerudi nyuma ya mwanzo! Nilisema hakuna anayeweza kuwaondoa wamachinga zaidi ya Rais, japo na yeye anawasukumizia wa chini yake huku akiwatisha!
 
CCM ipi tena na mama Rais (mwenyekiti wa CCM) ametamka wamachinga waondoke wapishe watu wafanye biashara? Inaelekea mwenzetu hujajua CCM inaelekea wapi mwendazake ameondoka na yake bwana.
 
CCM ipi tena na mama Rais (mwenyekiti wa CCM) ametamka wamachinga waondoke wapishe watu wafanye biashara? Inaelekea mwenzetu hujajua CCM inaelekea wapi mwendazake ameondoka na yake bwana.
Hajasema waondoke, amesema waombwe kuondoka na wasiguswe! Yaani waachwe wataondoka kwa wakati wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…