Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
- Thread starter
- #81
Siyo wote, yule wa Njombe yeye ni ghorofa la bilioni kadhaa!Dunia mapito hii ila bado kuna watu wana kibri na kujimwambafy
Ila mwisho wetu 6x3 huwezi hata kukodisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo wote, yule wa Njombe yeye ni ghorofa la bilioni kadhaa!Dunia mapito hii ila bado kuna watu wana kibri na kujimwambafy
Ila mwisho wetu 6x3 huwezi hata kukodisha
Siyo wote, yule wa Njombe yeye ni ghorofa la bilioni kadhaa!
Ndiyo, huyo wa Njombe kaburi lake vinaweza kuingia vitanda kumi vya 6×6, kaburi la ghorofa la bilioni si mchezo, Njombe wameomba liwe kivutio cha utalii wa ndani.Hapana mkuu Nina maana ukubwa wa Kaburi
Ndiyo, huyo wa Njombe kaburi lake vinaweza kuingia vitanda kumi vya 6×6, kaburi la ghorofa la bilioni si mchezo, Njombe wameomba liwe kivutio cha utalii wa ndani.
ukaagize mzigo km wa TV halafu uwape chinga wauze bila risiti?Ni maamuzi mazuri ya RC na ni kufuata na kusimamia sheria za miji zilizowekwa. Kinachotakiwa ni njia zipi zitafuatwa kulitekeleza. Hili leo linaloitwa tatizo limefanywa na serikali ya ccm na ufumbuzi unatakiwa ufanywe na serikali ya ccm. Mwendazake alikuwa wa CCM msijitoe ufahamu na aliikuta CCM ikificha jezi zake kwenye sandarusi na mkizomewa mitaani na hawa hawa machinga kama vibaka. msijisahaulishe na kuleta lawama za kijinga.
Kuonesha hamjui mnachokifanya wewe unazungumzia wenye fremi hii leo! Wenzako baada ya kuona machinga wanaziba fremu ili waishi na biashara zisife asilimia kubwa wameunda a symbiotic business relationship na machingas. Wako wenye fremu tena wa kutosha wanaonufaika na huu utaratibu wa machinga ulivyo sasa.
Wewe unakataa kitu ambacho kinafanyika! Kuna bidhaa zinazouzwa na mchinga zinathamani kuliko wenye maduka na bidhaa hizo si zao wauzaji, mbona ni kawaida tu.ni UONGO mkubwa
ukaagize mzigo km wa TV halafu uwape chinga wauze bila risiti?
ni Nchi ya ajabu yenye majiji machafu km Tanzania utadhani Bangladesh
tunashindwa na viJiji kama Kigali, Maputo na Harare
hii tabia ililetwa na Mwendazake akitarajia kura za maisha toka chinga
wakati wa Ben alipoingia Waziri Mkuu Fredrick T Sumaye alisafisha vibanda vyote mijini
ni UONGO mkubwa
ukaagize mzigo km wa TV halafu uwape chinga wauze bila risiti?
ni Nchi ya ajabu yenye majiji machafu km Tanzania utadhani Bangladesh
tunashindwa na viJiji kama Kigali, Maputo na Harare
hii tabia ililetwa na Mwendazake akitarajia kura za maisha toka chinga
wakati wa Ben alipoingia Waziri Mkuu Fredrick T Sumaye alisafisha vibanda vyote mijini
Halafu Wamachinga sio wapiga kura..Wale wanajua tu ushabiki kipindi cha kampeni ila kwenye kura unaweza ona asilimia 10 tu ndo wanapiga kuraHoja yako dhaifu sana, kwa hiyo nchi hii tumekuwa tunachaguliwa kiongozi na wamachinga? saficha mji wote na 2025 chama kinashinda upige kura usipige ila kusema huu upuuzi basi kesho watakuja vibaka na kusema mkitukamata hatupigi kura itabidi uwaachie tu kesho tu malaya sijui atakuja nani tena. mkuu wa mkoa safisha ni bora utengeliwe kwa kufanya jambo sawa kuliko kuendekeza huu upuuzi.
Waliovunjiwa nyumba Kimara waliandaliwa sehemu ya kwenda?Issue ni wamachinga wanaopanga bidhaa barabarani, Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam ni vema ikaandaa maeneo rafiki ya kufanyia biashara kwa wamachinga watakao ondolewa barabarani au njia za waenda kwa miguu.
Elimu itolewe kabla ya kutekelezazoezi hilo, na kazi iendelee.
Hata kama wanapiga kura lakini misingi ya sheria ifuatwe haya ndio yanayotokea kwa wenzetu mashoga wana vyama vyao wamekuwa wananguvu na kuleta ushawishi katika sheria zao na ukifanya mchezo siku nao watakuja watasema tupeni haki zetu au hatuwachagui. Kuna mambo ya simamiwe hata kama kukosa kura lakini tusimame kuyalinda moja usafi wa miji yetu.Halafu Wamachinga sio wapiga kura..Wale wanajua tu ushabiki kipindi cha kampeni ila kwenye kura unaweza ona asilimia 10 tu ndo wanapiga kura
Huyo wakuamua bado hajazaliwa.Hawajaamua... Wakiamua wanaodoka...
KWANINI WAONDOLEWE WAKATI NI WANYONGE?Mkuu wa Mkoa kuagiza wakuu wa wilaya wawaondoe wamachinga barabarani ni kuwapa mzigo wasiouweza asilani.
Hawa wamachinga walikwisha pewa jeuri na viongozi wakuu wa taifa na tumeshuhudia waliojaribu kuwaondoa waliondoka wao!
Wewe binafsi uliwahi kuwapa muda wa kuondoka kwenye eneo la ujenzi wa mwendokasi lakini bado wapo hivyo kuwakwaza wajenzi.
Hakuna mwenye ubavu wa kuwaondoa, hizi zote ni sauti za nyikani tu.
Kama hujapita maeneo ya Dar es Salaam yalivyo kwa Sasa huwezi elewa kelele za machinga kuondolewa.Mji umekuwa wa ajabu sana,kila Kona Kuna majiko ya kupikia,kila Kona ni soko,ukifika manzese watu wameweke bidhaa kwenye nafasi zinatotenganisha mwendokasi na njia ya magari ya kawaida.Najuliza ukifika Njombe machinga na wafanyabiashara wadogo wameondoka barabarani na kukaa karibu na masoko nini kinashindikana Dar mbaya zaidi watu wa Dar hawajafundishwa kutunza mazingira,mitaro ya maji kwao ni mashomo ya takataka.Ovyo kabisaNafikiri hivi..kama kuna mtu anajitaftia riziki sehemu na habughuzi riziki zako achana naye!
"As Usual" sio tafsiri sahihi ya "Kazi iendelee"Leo Jumapili 12/09/2021 kesho Jumatatu 13/09/2021 na keshokutwa Jumanne 14/09/2021 na kazi iendelee. Tafsiri na maana ya kazi iendelee kwa kiingereza si nzuri sana hasa inapomaliziwa na neno As Usual (kama kawaida).
Tatizo lako ni tafsiri ya neno kwa neno, labda ningekuwekea sentenso ndiyo kidogo ungenielewa nayo huenda ungebisha kwa kuwa unatafsiri neno kwa neno."As Usual" sio tafsiri sahihi ya "Kazi iendelee"