Chozizwa2020
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 912
- 853
Mkuu suala hili sio la Kariako tu, ni suala la Dar na kama Nchi mzima. Ukiwauliza wenye maduka wale wa mjini wakujibu kuwa wamachinga waachwe wafanye biashara zao popote, kwanini? jibu wanakijua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu suala hili sio la Kariako tu, ni suala la Dar na kama Nchi mzima. Ukiwauliza wenye maduka wale wa mjini wakujibu kuwa wamachinga waachwe wafanye biashara zao popote, kwanini? jibu wanakijua.
Makala yuko sahihi machinga ni kero waende sehemu sahihi ila kwa unafiki utaona wakimtumbua makala mbona enzi za kikwete walikuwa wanatolewa sehemu zisizo sahihi machinga wamechafua miji kwa vibandaKatika vitu ambavyo ulipaswa uende navyo taratibu tena kwa Umakini mkubwa mno ni hili Suala la Wamachinga ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nilidhani kuwa Wewe ni Mtoto wa mjini kweli tena wa Kawe na hili ungelishtukia upesi.
Kama kuna Kitu ambacho Rais na CCM hawataki Kukisikia ni Wamachinga Kubughudhiwa hapa nchini.
Hakuna asiyejua kuwa Mtaji Mkuu ( Mama ) wa Kiushawishi na Kisiasa wa CCM na ni hawa Wamachinga.
Kwakuwa ulipoteuliwa ghafla ulionekana hufai kuwa RC wa Dar sasa Watu wamekutega nawe umeingi mazima mazima.
Sikushauri tena kuwa uachane na huu Mpango wako, ila ninachojua umeshatoa Sababu ya Wewe Kutumbuliwa rasmi.
Upo uwezekano Mkoa wa Dar es Salaam akapewa Mwanamke au Kijana mwenye Msimamo na Ushawishi ndani ya CCM.
RC Amos Makalla napenda sana ubakie kuwa RC wa Dar ukizingatia ni mwana Simba SC Mwenzangu ila unaondolewa.
Unawaondoa Wamachinga kama ulivyoahidi ila Wamachinga hawa hawa watamfanya akutoe.
Wabaya wako ndani ya Mkoa, System na CCM wamekutafuta na wakakudanganya kuhusu Wamachinga nawe umeuvagaa.
Ni Suala la muda tu, ila Unatumbuliwa!
Warudishieni pesa zao za vitambulisho alivyowapa wataondokaMakala yuko sahihi machinga ni kero waende sehemu sahihi ila kwa unafiki utaona wakimtumbua makala mbona enzi za kikwete walikuwa wanatolewa sehemu zisizo sahihi machinga wamechafua miji kwa vibanda
Machinga sio wakuchekewa imagine vibanda kila kona kwenye barabara wamama wanapika vitumbua, pembeni tu ya airport Kuna vibanda vichafu why visiondolewe tusijifiche kwenye vichaka vya unyonge kwa kutokufata taratibu za mipango miji.Kwa taarifa tu ni kuwa hakuna serikali ya wanyonge Tena
Maazimio ya TISS ni Kila kitu kirudi kama zamani
Hata michango ya shule January inarudi
Mama Samia anajua kila hatua inayofanywa juu ya machinga nyie mtapiga kelele.
Akijitokeza ni kupigilia msumari Kama alivyofanya kwenye tozo.
Huyu Mama ni TV tu walioshikiria remote ni watu wengine.
Huu ni utawala mwingine kabisa mnyonge Hana chake shauri yenu msiseme hatukuwaambia.
Vitambulisho walilipia enzi za mwendazake sasa hivi hawajalipiaWarudishieni pesa zao za vitambulisho alivyowapa wataondoka
Kupokea wageni Mashuhuri JNIA..Hivi mayor wana kazi gani huko
Ila tatizo kama umeamua kufanya biashara halali kwa huu usumbufu uliopo hutaweza kutoboaMkuu suala hili sio la Kariako tu, ni suala la Dar na kama Nchi mzima. Ukiwauliza wenye maduka wale wa mjini wakujibu kuwa wamachinga waachwe wafanye biashara zao popote, kwanini? jibu wanakijua.
Mungu anisamehe sana, nilikuwa nafikiri ni kwanini korona imepata kibali cha kupunguza idadi ya watu wengi namna hii hapa duniani, kumbe ni miiba na michongoma ndio inaondolewa shambani wala sikujua. Natania anyway.Mkuu wa Mkoa kuagiza wakuu wa wilaya wawaondoe wamachinga barabarani ni kuwapa mzigo wasiouweza asilani.
Hawa wamachinga walikwisha pewa jeuri na viongozi wakuu wa taifa na tumeshuhudia waliojaribu kuwaondoa waliondoka wao!
Wewe binafsi uliwahi kuwapa muda wa kuondoka kwenye eneo la ujenzi wa mwendokasi lakini bado wapo hivyo kuwakwaza wajenzi.
Meya hana ubavu wa kuwaondoa wamachinga hawa wamewekwa kama kitegauchumi cha kura za CCM, hii yakusema mpaka sijui lini wawe wameondoka ni porojo wanajua wanatudanganya na hawajaanza leo, mtu pekee huenda anayo mamlaka kuwaondoa ni Rais.Kupokea wageni Mashuhuri JNIA..
Tanroads hawana uwezo, huyo Waziri Mkuu tu hana uwezo ndiyo sababu humsikii akiwaongelea.Niwashauri Mamlaka husika za kuwaondoa hawa wavamizi wa barabara na hifadhi zote wafanye yafuatayo:
1: Watoe matangazo ya kuwataarifu na kuwapa ujumbe na kuwaelekeza pa kuhamia, ( Sijajua uwanja wa karume unamilikiwa na nani, ila napendekeza paandaliwe vizuri na kupanga numba za wachuuzi ili waweze kulipa kodi na hili eneo liwe gulio LA wazi) Pia makaburi ya karume yahamishwe na liwe eneo LA biashara, Ikumbukwe miji huwa ni kwa walio hai na sio waliopo mbele ya haki
2: Napendekeza kila patakapo andaliwa kwa ajili ya hawa wajasiriamali pawe na maandalizi kidogo na tuache dharura!! Hawa maafisa biashara kazi yao ni mini!?
3:Kuthaminisha maeneo yote ya public na kuweka tozo, ya thamani ya eneo. Namaanisha hata barabara ithaminishwe ijulikane gharama ya kupangisha kwa mita ya mraba (m2) - hii inawahusu hats wenye maduka ambao wameamua kutoa bidhaa zao nje ya maduka yao na kuzuia njia!! Kwa hili lisiwe na mjadala kwani wafanyabiashara wenye hela zao wataamua kupangisha barabara na sisi kama nchi tutajipatia kodi na tozo!! Hii ihusishe hadi majenerata kwenye njia za waenda kwa miguu. Kwa kuanzia kwa DSM I we barabara ya Uhuru!! Hii barabara ya Uhuru imekuwa hadi aibu
4: Uondoaji wa vibanda uchafu vilivyojengwa kila kona vikifanya miji yetu kuwa hovyo ambavyo pia ni rahisi kushika moto na kuathiri biashara na usalama wa wakazi wa maeneo hayo ufanyike usiku kuanzia SAA 6, hii napendekeza kuwe na team kubwa na malori ya kuzoa taka, kila Lori Liwe na wapakizi wasiopungua kumi!! Onyo hawa watu wanaweza kutangaziwa uwepo wa zoezi kama hill ili wahamishe bidhaa na Mali zao!! - hii itaondoa lawama.
5: Napendekeza zoezi hili lifanyike na kuwandoa wavamizi wote na maeneo yote yawe chini ya hamashauri na kuyathaminisha, hii itawezesha kuweka thamani ya maeneo na kama ikionekana panafaa kwa biashara watu wawekwe pale na kulipa tozo kutumia 'control number'
6: Maeneo kama Manzese, Tegeta, Mbagala, Buguruni na kwingineko ambako ni hatarisha Tanroads nao wajiongeze!!
Ikumbukwe kuweka maeneo ya biashara ndogo ndogo sehemu rasmi ni kuongeza mapato!! Ni muhimu itambulike kila RAIA anatakiwa kuchangia pato LA taifa kwa kidogo apatacho kama kipato
Mkuu nakubaliana nave kwa asilimia kubwa. Siasa safi na uongozi bora ndio mzalishaji wa hali hii yote. Mfumo wa kufanya biashara ukiambatana mfumo wa kodi kwa kweli ni mibovu sana. Ebu fikiria kitongoji kina watu hamsini kwa maana ya nyumba 20, lakini mamlaka ya leseni za duka wanatoa leseni kwa maduka say 10, unadhani hawa 10 watafanya biashara ya faida na hatimaye wakalipa kodi ipasavyo? Sidhani! hivyo aidha hawatalipa kodi au atafanya biashara yake kimachingamachinga.Ila tatizo kama umeamua kufanya biashara halali kwa huu usumbufu uliopo hutaweza kutoboa
Kupokea wageni Mashuhuri JNIA..
TrueMachinga sio wakuchekewa imagine vibanda kila kona kwenye barabara wamama wanapika vitumbua, pembeni tu ya airport Kuna vibanda vichafu why visiondolewe tusijifiche kwenye vichaka vya unyonge kwa kutokufata taratibu za mipango miji.
Ningekuwa Rais wamachinga wote wangetolewa na kuvunja vibanda vyote waende sehemu husika
Usiseme atapewa mwanamke ..sema atapewa JoketiKatika vitu ambavyo ulipaswa uende navyo taratibu tena kwa Umakini mkubwa mno ni hili Suala la Wamachinga ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nilidhani kuwa Wewe ni Mtoto wa mjini kweli tena wa Kawe na hili ungelishtukia upesi.
Kama kuna Kitu ambacho Rais na CCM hawataki Kukisikia ni Wamachinga Kubughudhiwa hapa nchini.
Hakuna asiyejua kuwa Mtaji Mkuu ( Mama ) wa Kiushawishi na Kisiasa wa CCM na ni hawa Wamachinga.
Kwakuwa ulipoteuliwa ghafla ulionekana hufai kuwa RC wa Dar sasa Watu wamekutega nawe umeingi mazima mazima.
Sikushauri tena kuwa uachane na huu Mpango wako, ila ninachojua umeshatoa Sababu ya Wewe Kutumbuliwa rasmi.
Upo uwezekano Mkoa wa Dar es Salaam akapewa Mwanamke au Kijana mwenye Msimamo na Ushawishi ndani ya CCM.
RC Amos Makalla napenda sana ubakie kuwa RC wa Dar ukizingatia ni mwana Simba SC Mwenzangu ila unaondolewa.
Unawaondoa Wamachinga kama ulivyoahidi ila Wamachinga hawa hawa watamfanya akutoe.
Wabaya wako ndani ya Mkoa, System na CCM wamekutafuta na wakakudanganya kuhusu Wamachinga nawe umeuvagaa.
Ni Suala la muda tu, ila Unatumbuliwa!
Huku uliona meya wa Chadema alinyang'anywa gari, nyumba na miradi ya jiji ilimradi mwendazake hasira zimuishe! Hata hibyo Mungiu mkuu.Hahahahaha
Mayor wa miji mikubwa duniani wana majukumu makubwa kwa mipango miji na mpaka tender kubwa za kimataifa baadhi yao ila sasa wa kwetu kama nao ndio wamepangiwa hivyo sawa [emoji23]
Katika vitu ambavyo ulipaswa uende navyo taratibu tena kwa Umakini mkubwa mno ni hili Suala la Wamachinga ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nilidhani kuwa Wewe ni Mtoto wa mjini kweli tena wa Kawe na hili ungelishtukia upesi.
Kama kuna Kitu ambacho Rais na CCM hawataki Kukisikia ni Wamachinga Kubughudhiwa hapa nchini.
Hakuna asiyejua kuwa Mtaji Mkuu ( Mama ) wa Kiushawishi na Kisiasa wa CCM na ni hawa Wamachinga.
Kwakuwa ulipoteuliwa ghafla ulionekana hufai kuwa RC wa Dar sasa Watu wamekutega nawe umeingi mazima mazima.
Sikushauri tena kuwa uachane na huu Mpango wako, ila ninachojua umeshatoa Sababu ya Wewe Kutumbuliwa rasmi.
Upo uwezekano Mkoa wa Dar es Salaam akapewa Mwanamke au Kijana mwenye Msimamo na Ushawishi ndani ya CCM.
RC Amos Makalla napenda sana ubakie kuwa RC wa Dar ukizingatia ni mwana Simba SC Mwenzangu ila unaondolewa.
Unawaondoa Wamachinga kama ulivyoahidi ila Wamachinga hawa hawa watamfanya akutoe.
Wabaya wako ndani ya Mkoa, System na CCM wamekutafuta na wakakudanganya kuhusu Wamachinga nawe umeuvagaa.
Ni Suala la muda tu, ila Unatumbuliwa!
Huku uliona meya wa Chadema alinyang'anywa gari, nyumba na miradi ya jiji ilimradi mwendazake hasira zimuishe! Hata hibyo Mungiu mkuu.