Mkuu wa Mkoa Mbeya, Homera usiingilie sana masuala ya Walimu na Wanafunzi utawatia ukaidi zaidi wanafunzi

Mkuu wa Mkoa Mbeya, Homera usiingilie sana masuala ya Walimu na Wanafunzi utawatia ukaidi zaidi wanafunzi

Vingozi wengi nchi hii reasoning yao ni ndogo sana tena hata kwa mambo ya kawaida kabisa
Suala Homera la kitoto sana kwanza hata Afisa Elimu Kata hawezi kupoteza muda wake kujadili jambo dogo km hilo.
 
Suala Homera la kitoto sana kwanza hata Afisa Elimu Kata hawezi kupoteza muda wake kujadili jambo dogo km hilo.
Nimemdharau sana yeye na kamati yake yote ya ulinzi pamoja na washauri wake kuna mambo sio ya kuyaingilia ni very cheep kwa level ya madaraka yake.
 
Shida yangu ni majukumu yake tu mipaka tu
Mbeya haina maafisa Elimu ?
Basi sawa
Hawa watu wa kuokota okota hawa shida sana ndio maana enzi za zamani ili uwe kiongozi mkubwa lazima kuna ngazi fulani fulani za chini uwe umesha zipitia kwanza na kupata uzoefu wa social disputes na namna ya kuzi handle.
 
Hawa watu wa kuokota okota hawa shida sana ndio maana enzi za zamani ili uwe kiongozi mkubwa lazima kuna ngazi fulani fulani za chini uwe umesha zipitia kwanza nankuoata uzoefu wa social disputes na namna ya kuzi handle.
Balaa
 
manyumbu ya CHADEMA utayajua tu, topic tofauti anazungumzia uchaguzi, mwl. ana impact gani ktkt uchaguzi wakati msimamizi ni mkurugenzi wa wilaya. CHADEMA hata miaka 100 ijayo hamtashika uongozi wa nchi hii hasa kwa akili km hizi zako.
Mwalimu kashike chaki acha jazba
 
Back
Top Bottom