Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Ndiyo ni mtanzania.
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe, Francis Kasavubu Michael ni Mtanzania? Niliposikia jina hili wakati yupo katibu Wizara ya sayansi nilijiuliza hili swali ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Kasavunu ni wakongo Tena aliwahi kuepo Joseph Kasavunu raisi wa kwanza wakati Lumumba akiwa waziri mkuu wake
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe, Francis Kasavubu Michael ni Mtanzania? Niliposikia jina hili wakati yupo katibu Wizara ya sayansi nilijiuliza hili swali ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Ni mjomba wake na Joseph Kasavubu, wazee wa Boma DRC.
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe, Francis Kasavubu Michael ni Mtanzania? Niliposikia jina hili wakati yupo katibu Wizara ya sayansi nilijiuliza hili swali ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Kwa taarifa yako asilimia karibia 90 ya watanganyika ni wahamiaji unaweza ukaonekana mzawa kuliko wengine Kwa sababu ulifika Tanganyika mapema.
 
Sasa mtauza mihadarati na kupanga kuwadhuru Wakristo saa ngapi mkiwa wachapa kazi?
Unaweza kufananisha utendaji wa mawaziri enzi za Mkapa na kipindi cha Mkewre na Samia?

Kipindi cha awamu ya watawala wa Saudia zaidi ni bata tu na kupanga njama za kuchoma makanisa
Mkuu kwani kula bata ni shida??? Wewe hupendi bata??? Wa kila bata unapungua nini? Acha nongwa, unawaonea gere!! 🤣 🤣 🤣
 
Huyo ni mkongo,baba yake alikuwa kiongozi mkubwa huko Congo,alisoma udsm na kuwa lecturer,akaibukia bunge ka katiba
Mkuu tofautisha mtu kuwa raia wa nchi fulani na mtu kuwa na asili ya watu wa nchi fulani. Hivyo ni vitu tofauti kabisa!

Kwa watu wanaoishi mipakani, hasa jamii ambazo ziligawanywa na mipaka ya wa koloni ni jambo la kawaida kukuta majina yanayofanana maana ni jamii moja iliyojikuta katika nchi mbili!

Kwa mfano wamasai, wakuria, wahaya, waaha, wadigo, wamakonde, watusi, wangoni na kadhalika! Ila mara nyingi watu wa Kigoma wanatiliwa shaka sana kwa sababu za kiu salama.

Nchi jirani za mpakani Kigoma hazijatulia kiusalama kwa muda mrefu, zaidi ya miaka 60. Kwa hivyo ni kawaida kukuta mfanano wa majina.

Ni kweli wapo wachache ambao sio raia ila sio vizuri kugeneralise jamii nzima kwa kutumia watu wachache!
 
Kwangu Mimi mtu kama ni Mtanzania sijali na sitazami dini yake wala kabila ..

Masuala ya performance naacha Kwa aliewateua.......wala siwezi tukana dini nzima Kwa hasira za kiongozi mmoja..

Wewe unapoita watu wavaa kubazi na wachoma makanisa unaelewa unachofanya au unaropoka?
Achana nae, huyo hajitambui.
 
Back
Top Bottom