hapana, ni Naibu Rais.Huyu ndiye msemaji wa serikali?
Hawa wanapodharau na kukiuka sheria watakavyo wao, wanadhani nchi zingine nazo zina upuuzi wa aina hiyo.Kabudi hafuatilii kujua kuwa enzi za yule kipenzi cha Kikwete alikuwa Lupango kaachiwa juzi na hana lake. Da Silva. Sasa hivi Brazil ni tofauti wala hawataangalia wewe nani, unaswekwa ndani kama walivyowafanya marais wao wastaafu.
Sasa mkiacha kununua ndege Canada mkaenda kununua Brazil na Jamaa akienda kupeleka hukumu yake pale by follow law enforcement procedure mtamlaumu na Neymar maana ni Kwa court Order???
Jinsi tunavyoendesha nchi zetu hapa African ni tofauti na ulaya
Yaani hapo tumedhihirisha kuwa hatuheshimu mihimili yetu mtu mmoja anaweza kucontrol sehemu zote sababu tu mwenye kasema
Hapana haviendi hivyo ndg zangu

Msemaji wa wanaume wasio wanaumeHuyu ndiye msemaji wa serikali?
Palamagamba alidanganya, hatukushinda kesi Africa KusiniHuyo mkulima ndiye kakosea
Kosa lilelile anabadili nchi tu..
Atashindwa tena.
Usikute mwenyewe akisoma comments kama hizi "naibu Rais" anafurahi na kumuonyesha mkewe "ona raia wanavyoniita, wanapenda sana cheo hicho kianzishwe na kupewa mimi kama alivyo pewa Mrema unaibu waziri mkuu"hapana, ni Naibu Rais.