Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda awaapisha Wajumbe wa Mabaraza ya Ardhi

Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda awaapisha Wajumbe wa Mabaraza ya Ardhi

Kwa kuwa uwezo wao wa kufikiri umejikita katika kuudanganya umma, nawashauri hivi; kama walivyoamua kuachana na safari za South Africa kumkwepa mzungu, basi sasa waachane na kununua ndege zaidi ili kumkomoa mzungu... Ila wakumbuke you can not solve a problem by running away from it.
 
Ifike mahali wakulima waheshimiwe.

Bashite na Mataga tunataka tuanze kuona uzalendo wenu dhidi ya wale watendaji waliovuruga uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Nchi hii dhulma haitakwisha. Kwa sababu msingi mkubwa wa nchi hii ni dhulma. Ni baada ya kupata uhuru tu ndipo dhulma kubwa ikatokea ambapo watu walidhulumiwa nyumba,mashamba na kila kitu na kuwekwa kwenye mikono ya serikali na matokeo yake ,kila kitu kiliteketea. Dhulma nyingine ikatokea ya "wahujumu uchumi" chini ya wakati ule Waziri mkuu sokoine. Eti wanasema dhambi ya ubaguzi inaendelea na hata dhambi ya dhulma inaendelea.
MUNGU AKULINDE Mkulima Styn.
 
Unaweza kuta gharama tunayoingia hivi sasa sababu ya kushika na kuachilia ndege zetu bila kusahau uoga wa ndege zetu kufanya international routes ni kubwa kuliko hata deni lenyewe.
 
Mbona hao aliokuwa akiongea nao walikuwa busy wengine wanachezea simu wengine ni movements za hapa na pale, nimemwona kibaba kimoja kinashangaa Camera na mwingine anasinzia! Mimi niliyemtazama kwa yutyubu hata sijamwelewa
Amesema tutunze ndege zetu kwakua ni maliasili 😂
 
Mbona mliikimbia route ya South Africa?
Ha ha ha

Mimi nipo mrengo mmoja nawe

Ila kwenye ukweli huwa sihangaiki kushabikia

Vitu viko wazi kisheria...wenyewe wanaita Res Judicata. Jambo likiashatolewa uamuzi na mahakama haliruhusiwi tena kuamriwa upya labda akate rufaa...jamaa alikata rufaa south na akashindwa.

Huwa sipendi kujidanganya au kujitia furaha kwa vitu vilivyo wazi.
 
Mmmm
Kama hakushinda kwanini ndege iliachiwa na jamaa kaenda kufungua kesi nchi nyingine?
Kushinda kesi, Ni kushinda kiini Cha mashitaka. Kama mling'oa kiini, kwanini bado mna sifa za kushitakiwa?
 
Kushinda kesi, Ni kushinda kiini Cha mashitaka. Kama mling'oa kiini, kwanini bado mna sifa za kushitakiwa?

Sifa ya kushtakiwa ndio haipo.

Ndio maana nimesema Serikali itashinda.

Hii kesi itatupiliwa mbali.
 
Back
Top Bottom