Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda awaapisha Wajumbe wa Mabaraza ya Ardhi

Sijui kama itakuwa hivyo unavyofikiri
Ngoja uone watu watakavyodhulumiwa na huyo huyo mteua
Njia nyingine ya kujilimbikizia mali kwa dhuluma
This guy is a disaster hana jema hata moja.
Hivi mkuu ulioteshwa au ilikuwaje mpaka uliandika hii comment. Maana kisa cha sasa cha GSM nadhani ni matokeo ya hawa aliowaapisha.
 
Aiseeeee !!!
 
Waimba mapambio utaujua mwisho wao..
Huyu hana sifa za uongozi ni mtafuta mali kwa haraka hakuwa na lingine ndio maana alikuwa kila siku ana zoezi jipya mara mashoga mara wauza unga mara wanawake wasiopatiwa matunzo kha
 
Atazitapika zote
 
Back
Top Bottom