Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Huyo mtu inaonesha serikali nzima ilishukuru kuondoka kwake.Hata makamu wa rais,hata waziri mkuu, hata spika na naibu wake, hata jaji mkuu?
Wote walio pumzika usingizi wa milele waendelee kujaliwa pumziko la milele Amina
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ngusa Samike simjui sana ila Kalemanj na Dotto James hawakuwa na adabu kabisa enzi za utawala wa Dkt Magufuli, yaani walijiona miungu watu tena hawakuwa binaadamu wa kusikiliza shida za watu.Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Huo mkusanyiko hapo Chato ni haramu! Watu wakafanye shughuli zao haraka!Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
MwenyewePumbavu, wanamwombea shetani?
Wanaogopa kuitwa sukuma gangHadi viongozi wenzake wamemsusa hii maana yake walimchukia sana kwa vitendo vyake, duniani tunapita tu mtu usijifanye hii dunia ni mali ya Baba yako na ukajiona wewe ndiye bora kuliko wengine.
Yani hata bashite hakuwepo?Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Wewe alikudhurumu nini?Si mtakatifu na nitakufa najua lakini pamoja na kutokuwa mkamilifu bado sitaweza kuwafanyia binadamu wenzangu unyama wa kuwadhulumu haki zao za asili kama aliofanya magufuli. Mungu ampe adhabu kadiri ya mabaya aliyofanya.
Kipenzi chako kasahaulika. Wema hauozi ila ubaya....Duh...!.
P
Hata wewe utakufa,tukiacha mkeo hata watoto wako watasahau ulikufa lini na hawatakuja kaburini kwako,haya ni mambo ya muda tu,sio kwa jpm tuNa bado,Itafikia kipindi hata mkewe naye hatakuwa haendi.
Hata wewe utakufa,tukiacha mkeo hata watoto wako watasahau ulikufa lini na hawatakuja kaburini kwako,haya ni mambo ya muda tu,sio kwa jpm tu