Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.

Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.

Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.

My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!

Uaji, mtesi, jizi, mkabila, dhulumaji who cares?
 
Ngusa Samike simjui sana ila Kalemanj na Dotto James hawakuwa na adabu kabisa enzi za utawala wa Dkt Magufuli, yaani walijiona miungu watu tena hawakuwa binaadamu wa kusikiliza shida za watu.
 
Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.

Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.

Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.

My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Huo mkusanyiko hapo Chato ni haramu! Watu wakafanye shughuli zao haraka!
 
Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.

Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.

Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.

My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Yani hata bashite hakuwepo?
 
Si mtakatifu na nitakufa najua lakini pamoja na kutokuwa mkamilifu bado sitaweza kuwafanyia binadamu wenzangu unyama wa kuwadhulumu haki zao za asili kama aliofanya magufuli. Mungu ampe adhabu kadiri ya mabaya aliyofanya.
Wewe alikudhurumu nini?
Je una ndugu yeyote aliedhurumiwa na jpm?
Je kipimo cha unyama ni kipi?tueleze kidogo
 
watanzania ni wanafiq
chawa wa mama leo wapo kazini kila mmoja anajitahidi kumponda magu

kuna mmoja namfahamu nimeona amechangia sehemu, eti magu alitutesa sana wakati hadi leo hana kazi anashinda vijiweni
sasa nimejiuliza alimtesa wapi
 
Hata wewe utakufa,tukiacha mkeo hata watoto wako watasahau ulikufa lini na hawatakuja kaburini kwako,haya ni mambo ya muda tu,sio kwa jpm tu

Sasa kama ni hivyo inajulikana sasa mnaanzisha mathread ya nini humu wewe na chawa mwenzako? JPM siyo wa kwanza kufa na kusahaulika,Kafa malikia ,kafa princess diana na watu wameshasahau.
 
Back
Top Bottom