Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

Na nyie mnajiendekeza,mtu alishakufa utakaa kuzunguka makaburini ndo unamrudisha?familia yake ikimkumbuka inatosha,eti alikuwepo kiongozi mmoja huyohuyo anatosha bwana.
Pumzika kwa amani JPM
Tuache kukuza mambo madogo,nyie huko mnakowazika ndugu zenu huwa mnaenda kuwaombea kila mwaka?.Narudia familia yake ikimkumbuka inatosha,wao ndo wana stable(strong) bond na marehemu.
Ume-sema/andika ushauri mzito sana. Hawa wakuza mambo wakiuchukua huu ushauri utawasaidia sana.
 
Hii inaonesha ni vipi hata wenzake aliokuwa nao serikalini hawamkubali, walikuwa wakimsifia kinafiki tu, walijuwa nu mpenda sifa.
Nchi hizi maskini, ukiwa kiongozi usisikilize sifa kutoka kwa watu, bali angalia zaidi ni nini chema unachotakiwa kufanya. Maana kuna baadhi ya watu, umaskini huwafanya wafanye chochote ili mradi mkono uende kinywani. Hata ukiwaambia wakuimbie usiku na mchana kukutukuza, watafanya.

Kuyajua yaliyo mema, miongozo ipo mingi: katiba, sheria zetu, na maigizo ya Mungu kupitia vitabu vitakatifu vya dini.
 
Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.

Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.

Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.

My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Mlitaka aje PUTIN au BAIDEN?
 
Hata Makonda ameshindwa kuhudhuria?
 
Yaani mtu aliyezuia Lissu tusimchangie damu anaombewa Ili iweje?

Yule alikuwa shetani ndani ya mwili wa binadamu

Aongezewe adhabu ya kaburi
Hivi umekula kweli na ukashiba? siyo utokwe povu kumbe hujaweka hata tonge la chakula mdomoni.Marehemu hana habari na wala hajui makasiriko yako ya maisha magumu uliyonayo.
 
Nishawasoma sijui wanafaidika nini kushindana na mtu ambaye hawezi kujitetea
Wengi wao ni kama wamekwama sehemu flan ya maisha yao na sasa kisirani chote wanakipeleka kwa Marehemu.Mtu ana zaidi ya miaka miwili hayupo Duniani,unashangaa mtu 24/7 anamtukana.Ni aina flan ya msongo wa mawazo unaoendana na kukata tamaa ya maisha.
 
Wewe alikudhurumu nini?
Je una ndugu yeyote aliedhurumiwa na jpm?
Je kipimo cha unyama ni kipi?tueleze kidogo
Mimi alinidhulumu mali zangu za bilioni 40 na ndugu zake kina Doto na ludigiga kwa hiyo bado dua haijawaadhibu hao ndugu zake naendelea kuomba mola atekeleza haki kwa ndugu zake na kizazi chake chote kilaaniwe
 
Back
Top Bottom