stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Kabisa.Ni jambo jema
Hata msiba ulitangaziwa mkoani Kwake akiwa RC Tanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa.Ni jambo jema
Hata msiba ulitangaziwa mkoani Kwake akiwa RC Tanga
Hata Makonda na Ali happu hawakuwepo? Kweli tenda wema uende zako.My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako
😅😅mwaka wa pili tu wameshamsahau mtu wao aliyewafaa kwa kila kitu.Kufika mwakani watabaki wazee wa legacy peke yao hakuna atakae hangaika hata kutaka kujua tarehe
Kuhudhuria misa hakuhitaji bajeti ya serikali, ni mtu tu binafsi anaimuduUlitaka itengwe budget kila mwaka ya kumuombea diktetor? alishindwa nini kujiombea yeye?
Hata hivyo familia yake inashiriki ili kuua soo tu sio kwamba wanapenda.
Ume-sema/andika ushauri mzito sana. Hawa wakuza mambo wakiuchukua huu ushauri utawasaidia sana.Na nyie mnajiendekeza,mtu alishakufa utakaa kuzunguka makaburini ndo unamrudisha?familia yake ikimkumbuka inatosha,eti alikuwepo kiongozi mmoja huyohuyo anatosha bwana.
Pumzika kwa amani JPM
Tuache kukuza mambo madogo,nyie huko mnakowazika ndugu zenu huwa mnaenda kuwaombea kila mwaka?.Narudia familia yake ikimkumbuka inatosha,wao ndo wana stable(strong) bond na marehemu.
Nchi hizi maskini, ukiwa kiongozi usisikilize sifa kutoka kwa watu, bali angalia zaidi ni nini chema unachotakiwa kufanya. Maana kuna baadhi ya watu, umaskini huwafanya wafanye chochote ili mradi mkono uende kinywani. Hata ukiwaambia wakuimbie usiku na mchana kukutukuza, watafanya.Hii inaonesha ni vipi hata wenzake aliokuwa nao serikalini hawamkubali, walikuwa wakimsifia kinafiki tu, walijuwa nu mpenda sifa.
Tena huyo, nakumbuka mwaka 2019 baada ya maadhinisho ya sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, alienda Chato akakaa huko wiki 2. Akachukua na kiwanja cha kujenga hoteli.Ndugai hakuwepo?
Shetan baba na mama yako waliokuzaa.Pumbavu, wanamwombea shetani?
Mlitaka aje PUTIN au BAIDEN?Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Hata Makonda ameshindwa kuhudhuria?Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Hivi umekula kweli na ukashiba? siyo utokwe povu kumbe hujaweka hata tonge la chakula mdomoni.Marehemu hana habari na wala hajui makasiriko yako ya maisha magumu uliyonayo.Yaani mtu aliyezuia Lissu tusimchangie damu anaombewa Ili iweje?
Yule alikuwa shetani ndani ya mwili wa binadamu
Aongezewe adhabu ya kaburi
Wengi wao ni kama wamekwama sehemu flan ya maisha yao na sasa kisirani chote wanakipeleka kwa Marehemu.Mtu ana zaidi ya miaka miwili hayupo Duniani,unashangaa mtu 24/7 anamtukana.Ni aina flan ya msongo wa mawazo unaoendana na kukata tamaa ya maisha.Nishawasoma sijui wanafaidika nini kushindana na mtu ambaye hawezi kujitetea
BAIDEN ndiyo nani tena?Mlitaka aje PUTIN au BAIDEN?
Ukiwa Kiongozi tenda mema Kwa wote unaowaongoza!! Leo wasomi wanashindwa hata kuandaa kigoda Cha kumbukizi Kwa Kiongozi aliyefia madarakani!?Ndugu kwani wewe ni mtakatifu sana?
au hufi?
Mimi alinidhulumu mali zangu za bilioni 40 na ndugu zake kina Doto na ludigiga kwa hiyo bado dua haijawaadhibu hao ndugu zake naendelea kuomba mola atekeleza haki kwa ndugu zake na kizazi chake chote kilaaniweWewe alikudhurumu nini?
Je una ndugu yeyote aliedhurumiwa na jpm?
Je kipimo cha unyama ni kipi?tueleze kidogo
Hata Ndugai!?Ndugai hakuwepo?