Uchaguzi 2020 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro awa nje kituo chake cha kazi kwa takriban mwezi mmoja kisa Ubunge wa Monduli

Uchaguzi 2020 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro awa nje kituo chake cha kazi kwa takriban mwezi mmoja kisa Ubunge wa Monduli

kisulisuli

Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
37
Reaction score
74
Wanajamvi salama?

Wakati joto la uchaguzi likizidi kupanda hatimaye mkuu wa mkoa wa Morogoro bwana Loata Sanare amediriki kuwa nje ya kituo chake cha kazi mwezi mmoja sasa

Nilizozipata asubuhi ya leo kutoka vyanzo vyangu zinàsema tokea ateuliwe amekuwa akisononeka sana moyoni na kuanza kumlaumu mh Rais kwa kumteua kuwa RC Morogoro kwani uteuzi huo ni sawa na kumkosesha ubunge wa Monduli

Habari zadi zinasema tokea atoroke kwenye kituo chake cha kazi amekuwa akifanya vikao usiku kwa usiku lengo ni kumhujumu mbunge mh Julius Kalanga huku akijiapiza kuwa hatakama yeye Rc hatogombea atahakikisha mbunge wa sasa hatorudi bungeni

Habari kutoka Morogoro zinaeleza tokea ameaga anaenda msibani Monduli hadi leo hajarudi kwenye kituo chake kazi huku mgogoro wa wakulima na wafugaji ukizidi kufuka moshi kwenye mkoa wake

Habari zaidi zinasema wiki nzima amekuwa akitumia gari ya serikali kupita vijijini kuonana na wajumbe kuwashawishi kuwa wasije msahau kwani naye anaingia kwenye kinyanganyiro cha ubunge wa monduli huku uongozi wa chama wilaya ukimfumbia macho.ameendelea kujitapa zaidi kuwa hata rais na katibu mkuu wa chama wamempa baraka zote

Ninaomba chama wilaya watoe tamko kuhusu huyu Sanare kwani amekuwa anafanya kampeni za wazi wazi kabla ya ratiba za bunge kuvunjwa

Rc amekuwa akivuruga chama kuanzia ngazi ya wilaya hadi mkoa na mtakumbuka baada ya yeye kuteuliwa kura RC bado alirudi kuhakikisha anampinga mwenyekiti wa sasa wa mkoa wa arusha mh zelothe lakin bado hakufanikiwa

Naomba chama Wilaya waliangalie hili kwa macho matatu kwani RC huyu anaivuruga wilaya ya Monduli badala ya kurudi kwenye kituo chake cha kazi kutatua migogoro inayofukuta moshi ndani ya mkoa wake

Mkuu wa mkoa huyu itakumbukwa amepora mashamba eneo la Monduli juu kutoka kwnye hifadhi ya msitu wa serikali vile na kuanzisha mgogoro wa ardhi kati ya vijiji viwili vya lendikinya na monduli juu hadi kusababisha mtu kupoteza maisha

Tunaendelea kutoa wito kwa serikali yetu tukufu ya Dr John Pombe Magufuli kuingilia hili kati kwasabu mh huyu amekuwa chanzo na migogoro katika wilaya ya Monduli

Ameendelea kubaki monduli akifanya vikao usiku na mchana nyumbani kwake hadi leo bado ameshindwa kuondoka kwenda kwenye kituo chake cha kazi lengo ni kuendelea kumhujumu mbunge wa monduli ili hali akijuwa kabsa muda wa chama kufanya siasa haujafika
 
Kalanga acha unaaa kaka

Weee ni kati ya wabunge hewa uliyewai kuitawala Monduli
Nana uhakika hutorudii Bungeni

Huwezii kututukana sisi wananchi wa Mondulii na ndio utaacha kujisikiaa
Kijana mdogo unanyata kama hujui umezaliwa wapiii
Utawajua tui watu waliojulia hela ukubwanii

PILI Loata akirudi Monduli inakuhusu nini
Si nyimbani kwake

Uku wa Mkoa nitaasisi si mtu mmojaa
Kwa hiyo kaa kimyaa tukufundishe utumishi.
 
Huyu afadhari asirudi magufuli amtumbulie hukohuko, akirudi morogoro ni kuchukua familia yake.

Anatatua migogoro kwa upendeleo sana.
Hana tofauti na mkuu aliyepita.

Kama utakumbuka niliandika thread karibu mbili zinazomuhusu
 
Huyu afadhari asirudi magufuli amtumbulie hukohuko, akirudi morogoro ni kuchukua familia yake.

Anatatua migogoro kwa upendeleo sana.
Hana tofauti na mkuu aliyepita.
Kama utakumbuka niliandika thread karibu mbili zinazomuhusu

Kaka naomba hiyo link manake sasahivi tumeshaanza kumtafutia ushahidi wa madudu yake anayofanya nje ya ofisi ambayo rais amempa lakini hataki kutulia bado anarudi kuhangaika jimboni.hadi leo tumeshindwa kujuwa huyu bwana nani anampa hicho kiburi.wakati wa uchaguzi wa mwenyekiti wa ccm mkoa wa arusha ulipofanyika alifunga safari kutoka moro goro kwa lengo la kuja kumfanyia kampeni mtu wake lakin nashukuru mh jafo waziri alienda kufanya ziara mkoani kwake lakin hakumkuta kwnye kituo chake cha kazi hali iliyopelekea waziri kumpigia simu mara na kumpa masaa awe amerudi kwenye kituo chake cha kazi
 
Dhambi ya usaliti imeanza kukutafuna tulia

Amewahi kumsaliti nani na wapi?
Mwambieni huyo sanare wenu amuwe moja
Achie ukuu wa mkoa aje uwanjani kupambana na kalanga.ache kujificha ficha na kuita wajumbe usiku wa manane nyumbani kwake
 
Back
Top Bottom