Atumbuliwe tu, tatizo la viongozi wa chini ya magufuli ni kulindana hasa wana ccm.
Ingalikuwa serikali hii inawaacha watu waseme, huyu kila siku angekuwa kwenye vyombo vya habari.
Anawalinda sana wafugaji wa mvomero na kilosa.
Ukienda huko utaona ng'ombe mpaka chooni kwa wanakijiji.
Kule kilosa yeye na mkuu wa wilaya lao moja, pamoja na afisa tarafa dumila.
Kupora ardhi za wakulima nakuwalinda wafungaji kwakuwa wanapesa za kila siku.
My take , Rais amuondoe huyu, kwakuwa hawezi fanya haki mbele ya kabila lake.
Morogoro husan wilaya ya kilosa na mvomero, wafugaji wake ni wamasai na ndiko kunakotokea mauaji.
UFALME HAUWEZI JIFITINI WENYEWE