Uchaguzi 2020 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro awa nje kituo chake cha kazi kwa takriban mwezi mmoja kisa Ubunge wa Monduli

Karaaaangaaaaaa Outtttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttt,
 
Wewe Karanga tulia tuliii Kwa huna Adabu wewe dogo umetukana wana monduli

Kwa taarifa yako usipoteze hela yako Kwa kampeni Bora ukale na mama yeyoo

Hatukupi kura tena ulitukana wasee wetu wewe Mjinga
 
daah siasa hizi kwahiyo hata kama yuko likizo aendelee kuwa morogoro tu?
 
Amewahi kumsaliti nani na wapi?
Mwambieni huyo sanare wenu amuwe moja
Achie ukuu wa mkoa aje uwanjani kupambana na kalanga.ache kujificha ficha na kuita wajumbe usiku wa manane nyumbani kwake
Tulia mzee uchunwe ngozi ukiwa hai ulitukana wasee wetu wewe Mjinga
 
Kumbe Kisulisuli ndiye Julius Kalanga
Ni yeye mkuu huyu tunamchuna ngosi akiwa hai alitukana wasee wetu huyu kijana Mdogo anasaliwa tunamouna kabsaaa
 
Wivu wa kike unakusumbua.
Mh RC anafanya kazi nzuri sana Morogoro,kama umetumwa na Kebwe tujue.
Viva Loata Sanare.
Viva Magufuli.
 
Cha ajabu Jaffo hana ubavu wa kumpigia simu Makonda na kumpa masharti/amri za aina hio.
 
Ni yeye mkuu huyu tunamchuna ngosi akiwa hai alitukana wasee wetu huyu kijana Mdogo anasaliwa tunamouna kabsaaa

Jifunze kwanza kiswahili ndo uje uchangie mada humu ndani
 
Mkuu huyu tunamchuna ngosi akiwa hai alitukana wasee wetu
Ameen. Niliwaambia vijana, CHADEMA ndio sehemu pekee ambayo ukiwa na ushawishi tu kwa jamii inayokuzunguka unatoboa. Nina uhakika asilimia kubwa ya wabunge wa Chadema wangekuwa CCM hata udiwani wasingepata. Wacha tu waungue, wamechagua moto.
 
Acha uchochezi,binafisi nimekutana nae wiki iliyopita ofisini kwake,unaposema hayupo ofisini mwezi mzima unamaana gani???
 
NI HABARIILA IMEKAA KIMBEA MBEA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…