Acha ubwege Kama ameaga kwa mkuu wewe inakuuma nin. We unataka sisi tukushauri Nini? Acheni naye atafute ubunge Ni haki yake . Majukumu mengine kamwachia afisa tawala mkoa. We unamchongea ili afukuzwe kazi familiar yake utailisha wewe? Acha wivu was kipumbavu bhana. Ubunge Kama unataka si ugombee na ww. UNAROHO MBAYA SANA UNAMCHONGEA AFUKUZWE KAZI WE UNAPATA NINI. Kama katoroka Kuna wakubwa wake watahangaika na acha na yy apigane haya Ni maisha. RC huko uliko Kuna bundi huku anakuwangia