ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Tunaheshimu mamlaka za uteuzi wa mkuu wa mkoa Tabora
Tunatambua upo Tabora kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Leo umeongea kauli za ovyo na uropokaji ambao ni kutweza na kudhalilisha club ya Yanga
Mkuu wa mkoa anatoa shutuma za uongo kuwa club ya Yanga imehonga wachezaji wa Tabora United, Yaani Yanga bingwa wa nchi awe na haja ya kumhonga Tabora ili amfunge
Tulitarajia mkuu wa mkoa aje na uthibitisho wa Tuhuma hizo au achukue mamlaka yake maana ndiyo mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa
Mkuu wakoa kusema anaogopa tu Simba ni kumthibitisha kuwa Huwa anawapa matokeo ndo maana Huwa anachelewa kuwapa vibali wachezaji na kutumia timu dhaifu dhidi ya 5imba
Kumtuma msemaji wa Tabora United kuwalazimisha viongozi wa Yanga wakuombe radhi Kwa kujibu shutuma zako, hapo ndo nimekuona hufai, na ikimpendeza Rais Samia akutengue inaonekana hutoshi kuwa Mkuu wa mkoa
Mkuu wa mkoa usijifiche kwenye cheo chako tambua ukichagua kuwa adui wa Yanga tutakushambulia na kukupopoa bila kujali cheo chako
Tambua mkuu wa mkoa ni kiongozi wa wote maana Simba na Yanga, wakristo na waislam sio jambo jema kuonyesha ubaguzi wa wazi
Tunaomba mamlaka ya uteuzi ifanye utenguzi wa kiongozi huyo anayekiuka miiko ya uongozi
Yanga bingwa