Mkuu wa mkoa wa Tabora unatumia madaraka yako vibaya kuhujumu Yanga

Alienda uwanjani kama mwakilishi wa GSM na sio RC.....

Kama ni kuthibiti vurugu RPC angewajibika ila sio huyo balozi wa GSM
Kwa nafasi yake kama Mkuu wa Mkoa ana haki ya kwenda kuangalia chanzo cha vurugu. Kwa sababu ni Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya Mkoa. Na polisi pia walikuwepo. Hayo mambo ya GSM ni ya kwako bila shaka.
 
Tatizo lako wewe ni utopwinyo lia lia na huoni makosa ya RC Mwanza kwa kuwa ni utopwinyo mwenzio... ila kwa RC Tabora unaona makosa yake kwa sababu hacheki na 🐸🐸
 
Timu kubwa zimecheza CAFCL hizo za kwenye mashindano ya nyongeza yaani mashindano ya akina mama
Wanaume zenu mc algers wanakaguliwa hapa hiyo champion mnacheza saa ngapi tujuze na huko kukosa kwenu akili!
 
Tuliishia group stage kama man man city na Liverpool
Vip 5imba yupo mashindano gani huko kimataifa?
 
Man city,liverpool hawajatoka group stage kama hujui uliza kwanza kwa hili tu wacha nikuache napoteza muda hazi yako ni tabora...majimaji...singida na kmc ndio mfanye ufanye mijadala nao na huko kuvamia kwenu mpirq!
 
5imba yupo kwenye mashindano gani?
 
Huyu ni Mkuu wa Mkoa Mhuni!

CCM ina baadhi ya viongozi wa ajabu sana
 
Nimefunga mjadala uniambie upo mashindano gani na unacheza saa ngapi zaidi ya hapo kaa kimya!
Timu inatukana wakuu wa mikoa walioteuliwa na rais...anyway Kuna taarifa ziko kua malalamiko ya timu fulan kudhamin timu zaidi ya 8 na upangaji wa matokeo ya hizo timu ili iwe rahis wao kuchukua matokeo yamefika FIFA ya timu fulani kupanga matokeo , uchunguz umeanza
 
Back
Top Bottom