Mkuu wa mkoa wa Tabora unatumia madaraka yako vibaya kuhujumu Yanga

Mkuu wa mkoa wa Tabora unatumia madaraka yako vibaya kuhujumu Yanga

Uto sio ya kuiwekea dhamana kuwa haiwezi kuhonga. Kama wanapigwa faini mara kwa mara kwa kupita mlango usio rasmi na hawaachi unaanzaje kuiwekea dhamana timu kama hiyo.
 
Mpira wa bongo na ligi yake inaelekea kufa. Na wataiua wenyewe watz kwa kuzidisha huu uzwazwa wa usimba na uyanga uliopitiliza. Subirini muone FIFA ikitia mguu kuchunguza hizi tuhuma mnazopeana kwa ushabiki ushabiki mwisho wa siku mfungiwe ndo mtakapoelewa. Kenge nyie
 
Kama Mkuu wa Mkoa ameamua kuacha majukumu yake Ya msingi na kuingia kwenye ushabiki wa mpira, pigeni spana tu mpaka akili yake imkae sawa.
 
Timu zenye malengo zipo kimataifa smugglers and match fixing wapo mchangani wanapambana na tabora!
Timu kubwa zimecheza CAFCL hizo za kwenye mashindano ya nyongeza yaani mashindano ya akina mama
 
Timu kubwa zimecheza CAFCL hizo za kwenye mashindano ya nyongeza yaani mashindano ya akina mama
Muda si mrefu tutashuhudia waume zenu wenu Mc Algers dhidi ya k chiefs je nyie mnacheza saa ngapi au lini na kukosa kwenu akili na maarifa!
 
Mbona Mtaka hamkumuombea apigwe spana?
Huyo Said Mtanda (and not Mtaka), alitoa tamko gani la kuihusu simba ilipoenda kucheza na Pamba, nje ya lile tukio lake la kwenda uwanjani baada ya kutaarifiwa kumetokea vurugu?
 
Muda si mrefu tutashuhudia waume zenu wenu Mc Algers dhidi ya k chiefs je nyie mnacheza saa ngapi au lini na kukosa kwenu akili na maarifa!
Hao wapo CAFCL sio UMITASHUMITA ambayo 5imba inashiriki
 
Back
Top Bottom