Kujiingiza kwenye mabishano ya soka NI kujishusha mwenyewe. Tulimsema Mkuu wa mkoa wa Mwanza alipoingilia Mechi ya Simba Vs Pamba.Kweli yanga mnamwona Rais kama shemeji yenu!
Hizi dharau kwa mamlaka zinatokana na nini?
Mtoto kama Ali kamwe kumdhihaki Mh Mkuu wa Mkoa kisa kasema wachezaji wake wamemwonyesha msg za watu wanaowashawishi kuuza mechi.
Heshimuni mamlaka acheni siasa chezeni mpira.Ubingwa wa makando kando mmeuzoea sana.
UANENI TU Sisi wenye Nchi tuko Misri tukiendelea kuiletea Heshima Tanzania na Afrika Mashariki.Tunaheshimu mamlaka za uteuzi wa mkuu wa mkoa Tabora
Tunatambua upo Tabora kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Leo umeongea kauli za ovyo na uropokaji ambao ni kutweza na kudhalilisha club ya Yanga
Mkuu wa mkoa anatoa shutuma za uongo kuwa club ya Yanga imehonga wachezaji wa Tabora United, Yaani Yanga bingwa wa nchi awe na haja ya kumhonga Tabora ili amfunge
Tulitarajia mkuu wa mkoa aje na uthibitisho wa Tuhuma hizo au achukue mamlaka yake maana ndiyo mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa
Mkuu wakoa kusema anaogopa tu Simba ni kumthibitisha kuwa Huwa anawapa matokeo ndo maana Huwa anachelewa kuwapa vibali wachezaji na kutumia timu dhaifu dhidi ya 5imba
Kumtuma msemaji wa Tabora United kuwalazimisha viongozi wa Yanga wakuombe radhi Kwa kujibu shutuma zako, hapo ndo nimekuona hufai, na ikimpendeza Rais Samia akutengue inaonekana hutoshi kuwa Mkuu wa mkoa
Mkuu wa mkoa usijifiche kwenye cheo chako tambua ukichagua kuwa adui wa Yanga tutakushambulia na kukupopoa bila kujali cheo chako
Tambua mkuu wa mkoa ni kiongozi wa wote maana Simba na Yanga, wakristo na waislam sio jambo jema kuonyesha ubaguzi wa wazi
Tunaomba mamlaka ya uteuzi ifanye utenguzi wa kiongozi huyo anayekiuka miiko ya uongozi
Yanga bingwa
yani yanga inavyonangwa utasema ni ma freemason maana kama huwa tunashinda kwa kuhonga basi tunahela sana!.Dah! Yanga inahonga wachezaji wa Tabora united?😃
😃Huyu mkuu wa mkoa atakuwa na visa tu na nyie aiseyani yanga inavyonangwa utasema ni ma freemason maana kama huwa tunashinda kwa kuhonga basi tunahela sana!.
anaogopa...😃Huyu mkuu wa mkoa atakuwa na visa tu na nyie aise
Mfungulieni mashtaka ya upotoshajianaogopa...
achana nae ananogesha mpira tu huyo tutapoteza mudaMfungulieni mashtaka ya upotoshaji
Cheki juzi dhidi ya majimaji je huko sio kuhonga marefa na timu pinzani!yani yanga inavyonangwa utasema ni ma freemason maana kama huwa tunashinda kwa kuhonga basi tunahela sana!.
Asitumie mamlaka yake Kwa maslahi yake binafsiUjinga mtupu. Mamlaka ya Urais yanachukuliwa poa sana. Yaani RC achukuliwe hatua kisa Utopolo wametuhumiwa! Ujinga wa kiwango cha SGR