Kwa nafasi yake kama Mkuu wa Mkoa ana haki ya kwenda kuangalia chanzo cha vurugu. Kwa sababu ni Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya Mkoa. Na polisi pia walikuwepo. Hayo mambo ya GSM ni ya kwako bila shaka.Alienda uwanjani kama mwakilishi wa GSM na sio RC.....
Kama ni kuthibiti vurugu RPC angewajibika ila sio huyo balozi wa GSM
Utajua wewe ila tunataka kujua yanga anacheza saa ngapi na huko kukosa kwenu akili na uchawi!Hao wapo CAFCL sio UMITASHUMITA ambayo 5imba inashiriki
Tatizo lako wewe ni utopwinyo lia lia na huoni makosa ya RC Mwanza kwa kuwa ni utopwinyo mwenzio... ila kwa RC Tabora unaona makosa yake kwa sababu hacheki na 🐸🐸Kwa nafasi yake kama Mkuu wa Mkoa ana haki ya kwenda kuangalia chanzo cha vurugu. Kwa sababu ni Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya Mkoa. Na polisi pia walikuwepo. Hayo mambo ya GSM ni ya kwako bila shaka.
Wanaume zenu mc algers wanakaguliwa hapa hiyo champion mnacheza saa ngapi tujuze na huko kukosa kwenu akili!Timu kubwa zimecheza CAFCL hizo za kwenye mashindano ya nyongeza yaani mashindano ya akina mama
Man city,liverpool hawajatoka group stage kama hujui uliza kwanza kwa hili tu wacha nikuache napoteza muda hazi yako ni tabora...majimaji...singida na kmc ndio mfanye ufanye mijadala nao na huko kuvamia kwenu mpirq!Tuliishia group stage kama man man city na Liverpool
Vip 5imba yupo mashindano gani huko kimataifa?
5imba yupo kwenye mashindano gani?Man city,liverpool hawajatoka group stage kama hujui uliza kwanza kwa hili tu wacha nikuache napoteza muda hazi yako ni tabora...majimaji...singida na kmc ndio mfanye ufanye mijadala nao na huko kuvamia kwenu mpirq!
Nimefunga mjadala uniambie upo mashindano gani na unacheza saa ngapi zaidi ya hapo kaa kimya!5imba yupo kwenye mashindano gani?
Timu inatukana wakuu wa mikoa walioteuliwa na rais...anyway Kuna taarifa ziko kua malalamiko ya timu fulan kudhamin timu zaidi ya 8 na upangaji wa matokeo ya hizo timu ili iwe rahis wao kuchukua matokeo yamefika FIFA ya timu fulani kupanga matokeo , uchunguz umeanzaNimefunga mjadala uniambie upo mashindano gani na unacheza saa ngapi zaidi ya hapo kaa kimya!