Ngamanya Kitangalala
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 501
- 1,214
Ndani ya miaka 10 ya utawala wa awamu ya nne, ilitufanya wananchi tuamini kuwa ni jambo la lazima kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi.
Lakini kwenye miaka 5 ya awamu ya tano, ikatufanya wananchi tuamini tofauti tena, kuwa kumbe sio jambo la lazima sana kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi.
Hii inaweza kuwa fursa nzuri sasa, kwa sisi wananchi kufungua MJADALA kwa kupima
1. FAIDA NA HASARA ya mkuu wa nchi KUSAFIRI mara kwa mara
2. FAIDA na HASARA ya mkuu wa nchi KUTOKUSAFIRI mara kwa mara
Baada ya hapo kama taifa, tutakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujua; lipi ni zuri kwa maslahi mapana ya nchi yetu.