Mkuu wa nchi kutokusafiri au kusafiri mara kwa mara

Kovidi-19 imetufundisha kwamba hakuna haja ya kusafirisafiri, hususan katika ulimwengu huu wa utandawazi na sayansi & teknolojia. JPM alikuwa nabii wa sayansi ya siasa. ^Jina lake lihifadhiwe katika makabati yote ya Afrika^
Hueleweki. Jpm ndiye alileta covid-19? Ndiye aliyeleta sayansi na teknolojia? Jikite kwenye mada- faida na hasara za rais kusafiri/kutosafiri mara kwa mara.
 
Rais wa nchi anapaswa kusafiri mara kwa mara akakutane na marais wenzake wapange mipango ya maendeleo ya nchi zao.
Hilo pia litamfanya rais ajiweke mbali na udaku wa nyumbani.

Rais akikaa sana nyumbani anakosa cha kufanya.
Ataanza tabia za udaku, itakuwa kila siku ni kudukua simu za watu wake asikie wanao msengenya.
Hahahahahahahaha
 
Kulikuwa na mkuu wa nchi aliyesafiri ndani ya nchi Dar-Dodoma-Mwanza-Geita-Kagera na misafara ya magari karibia 50 na helicopter, na kila mkoa anaopita lazima wenyeji RC, DC, polisi wamsindikize, gharama ya muda na mafuta, na per diems. Kisha alichokifanya majukwaani ni kutusi mabeberu, na kujisifia.

Kwangu ni BORA anayesafiri ndani na nje ya nchi, kwa ndege, huku akijenga mahusiano na nchi jirani, bila kuwananga majukwaani.

Everyday is Saturday............................... 😎
Watu mna propaganda za kijinga
 
Ndani ya miaka 10 ya utawala wa awamu ya nne, ilitufanya wananchi tuamini kuwa ni jambo la lazima kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi.

Lakini kwenye miaka 5 ya awamu ya tano, ikatufanya wananchi tuamini tofauti tena, kuwa kumbe sio jambo la lazima sana kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi.

Hii inaweza kuwa fursa nzuri sasa, kwa sisi wananchi kufungua MJADALA kwa kupima

1. FAIDA NA HASARA ya mkuu wa nchi KUSAFIRI mara kwa mara

2. FAIDA na HASARA ya mkuu wa nchi KUTOKUSAFIRI mara kwa mara

Baada ya hapo kama taifa, tutakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujua; lipi ni zuri kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
Miaka mitano ya awamu ya tano:-
1.Imetufanya tuamini kua uchumi unaweza shuka kutoka 6.9%-4.8
2.Imetufanya tuamini kua kumbe raisi anaweza kuushusha uchumi kiasi cha mtangulizi wake kuajili walimu wote wanomalia vyuo na yeye kuajili watu wasiozidi elfu 20 kwa miaka mitano
3.imetufanya tuamini kua raisi anaweza kua mpumbavu wenzake wote wa awamu ya nne wamekopa trillioni 40 ,yeye pekee amekopa trillioni 20
4.Imetufanya tuamini kua kuna watu hawasafiri sababu wana matatizo makubwa ya moyo,hadi wanatumia pacemaker
5.Imetufanya tuamini kua raisi anaweza kua na roho mbaya na visasi huku kutwa kucha akimtaja mungu
6.Imetufanya tuamini ya kua rais anaweza akajenga kwao huku akiacha maeneo mengine yakiwa hoe hae
7.Imetufanya tuamini kua watanzania wana roho mbaya kiasi cha kufurahia matatizo ya masikini wenzao kwa kuitana wanyonge
 
Kovidi-19 imetufundisha kwamba hakuna haja ya kusafirisafiri, hususan katika ulimwengu huu wa utandawazi na sayansi & teknolojia. JPM alikuwa nabii wa sayansi ya siasa. ^Jina lake lihifadhiwe katika makabati yote ya Afrika^
Viva JPM
JamiiForums355102718.jpg
 
Kovidi-19 imetufundisha kwamba hakuna haja ya kusafirisafiri, hususan katika ulimwengu huu wa utandawazi na sayansi & teknolojia. JPM alikuwa nabii wa sayansi ya siasa. ^Jina lake lihifadhiwe katika makabati yote ya Afrika^
Madhara ya kutosafiri ni kwamba kiongozi anakua iddle mpk anaanza kusikiliza simu za kina mchange na jokate wakitongozana.
 
Ndani ya miaka 10 ya utawala wa awamu ya nne, ilitufanya wananchi tuamini kuwa ni jambo la lazima kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi.

Lakini kwenye miaka 5 ya awamu ya tano, ikatufanya wananchi tuamini tofauti tena, kuwa kumbe sio jambo la lazima sana kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi.

Hii inaweza kuwa fursa nzuri sasa, kwa sisi wananchi kufungua MJADALA kwa kupima

1. FAIDA NA HASARA ya mkuu wa nchi KUSAFIRI mara kwa mara

2. FAIDA na HASARA ya mkuu wa nchi KUTOKUSAFIRI mara kwa mara

Baada ya hapo kama taifa, tutakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujua; lipi ni zuri kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
Kusafiri kunasaidia kwani tungepata soko la korosho kuliko ilivyotokea
 
Kovidi-19 imetufundisha kwamba hakuna haja ya kusafirisafiri, hususan katika ulimwengu huu wa utandawazi na sayansi & teknolojia. JPM alikuwa nabii wa sayansi ya siasa. ^Jina lake lihifadhiwe katika makabati yote ya Afrika^
Covid-19 is a physical and environmental factor that affect business, people leave in defensive mode hence purchasing power decrease
 
Ndani ya miaka 10 ya utawala wa awamu ya nne, ilitufanya wananchi tuamini kuwa ni jambo la lazima kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi.

Lakini kwenye miaka 5 ya awamu ya tano, ikatufanya wananchi tuamini tofauti tena, kuwa kumbe sio jambo la lazima sana kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi.

Hii inaweza kuwa fursa nzuri sasa, kwa sisi wananchi kufungua MJADALA kwa kupima

1. FAIDA NA HASARA ya mkuu wa nchi KUSAFIRI mara kwa mara

2. FAIDA na HASARA ya mkuu wa nchi KUTOKUSAFIRI mara kwa mara

Baada ya hapo kama taifa, tutakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujua; lipi ni zuri kwa maslahi mapana ya nchi yetu.

viongozi wa nchi hawa safari bila sababu. Wanasafiri kwa manufaa ya umma

Mfano Mama kaenda Uganda kwanza ni majirani pili tunajenga bomba ambalo tunanufaika sana na mafuta ya Uganda. Kenya mfano Kenyatta alimwalika, Kenyatta alikuja hapa kwenye msiba na mwisho Kenya ndiyo inaongoza kwa uwekezaji. Alienda na wafanyabiashara na kuongea nao kule.
Kama huoni faida na unafikiri safari za Maraisi ni za kupeza muda inaonyesha hujui Dunia inaendaje ni ushamba
 
Kovidi-19 imetufundisha kwamba hakuna haja ya kusafirisafiri, hususan katika ulimwengu huu wa utandawazi na sayansi & teknolojia. JPM alikuwa nabii wa sayansi ya siasa. ^Jina lake lihifadhiwe katika makabati yote ya Afrika^
Lilikuwa gonjwa
 
Rais wa nchi anapaswa kusafiri mara kwa mara akakutane na marais wenzake wapange mipango ya maendeleo ya nchi zao.
Hilo pia litamfanya rais ajiweke mbali na udaku wa nyumbani.

Rais akikaa sana nyumbani anakosa cha kufanya.
Ataanza tabia za udaku, itakuwa kila siku ni kudukua simu za watu wake asikie wanao msengenya.

Kwani yeye ni raisi wa dunia au wa Tanzania ? Sasa kila siku akiwa anasafiri atajuaje kero za wananchi wake? , nchi hii imejaa uozo kila sehemu hawez kukosa kazi za kufanya, hawa viongozi wetu wanajali tu matumbo yao , rip magu
 
Madhara ya kutosafiri ni kwamba kiongozi anakua iddle mpk anaanza kusikiliza simu za kina mchange na jokate wakitongozana.

Hao mnaowakimbilia kutwa kuwatembelea wao kwenu wanakujaga? Tabia ya kiswahili sana hiyo . Raisi unatakiwa ukae kwenu utengeneze nchi yako , Hao wanaowakimbilia hawakuwachagua ni sisi tuliowapa madaraka, huo ushangingi wa kuzurula hovyo na ndege zetu hatutaki mxieew
 
Bora asafiri itasaidia kutengeneua mazingira mazuri zaidi kidipromasia KIMATAIFA, na tuliona aliyekuwa hawezi ktembelea wenzake na suala la uchumi lilipo kuwa linaelekea., Ikafika mahara hata hatuwezi kuuza hata bizaa zetu nje ya Nchi , wengine walianza kusema bizaa zetu hazina ubora.
 
Back
Top Bottom