Mkuu wa nchi kutokusafiri au kusafiri mara kwa mara

Akili Ndogo.
Kazi na bata mkuu...

'
Aliyesafiri alikuwa anapata hela za kuongeza mishahara na kuajiri wapya,
Asiyesafiri kubana matumizi wote tunajua kilichotokea'

Na usidhani Magufuli hakusafiri. Alisafiri sana mikoani kutafuta kusifiwa na 'wanyonge', huku akiwagawia fedha, na kutoa maamuzi bila kuzingatia sheria ili aonekane wa maana. Ni aibu mkuu wa nchi kula mahindi ya kuchoma barabarani.
Kutokwenda nje, hususan ulaya ilikuwa tuu madhaifu yake- lugha.
 
Aliyekataa kusafiri ameutoa uchumi kutoka 7 kuja 4 ameokoa nini
Aliyekataa kusafiri hakuongezea watumishi mishahara ameokoa nini
 
Kusafiri mikoani ukisindikizwa na helikopta na misadari ya magari 50 ni ujinga
 
Back
Top Bottom