Ngamanya Kitangalala
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 501
- 1,214
Kwahiyo kuongeza mishahara kunatokana na kusafiri?Aliyesafiri alikuwa anapata hela za kuongeza mishahara na kuajiri wapya,
Asiyesafiri kubana matumizi wote tunajua kilichotokea 🤣🤣🤣🤣
HapanaKwahiyo kuongeza mishahara kunatokana na kusafiri?
Baba anayesafiri lazima arudi na zawadi kwa watoto wake.More journey more gifts.Kwahiyo kuongeza mishahara kunatokana na kusafiri?
Aliyesafiri alilipa mishahara mpaka wafanyakazi hewa. Na kwenye mikopo ya elimu ya juu hakubagua yeyote.Aliyesafiri alikuwa anapata hela za kuongeza mishahara na kuajiri wapya,
Kwa hiyo akili yako inakuwa na mawazo ya kuomba babako asafiri kila uchao ili uletewe zawadi eeh😬?Baba anayesafiri lazima arudi na zawadi kwa watoto wake.More journey more gifts.
Kadai ada yako kwa Ras SimbaCoastal had have such weak attribute as fas as leadership is concerned in this nation ..even Mangungo had once have such inferiority
" Usinikumbushe awamu ya nne,ninaona hata awamu ya sita imeanza kufanana na awamu ya nne"Ndani ya miaka 10 ya utawala wa awamu ya nne, ilitufanya wananchi tuamini kuwa ni jambo la lazima kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi
Lakini kwenye miaka 5 ya awamu ya tano, ikatufanya wananchi tuamini tofauti tena, kuwa kumbe sio jambo la lazima sana kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi
Hii inaweza kuwa fursa nzuri sasa, kwa sisi wananchi kufungua MJADALA kwa kupima
1. FAIDA NA HASARA ya mkuu wa nchi KUSAFIRI mara kwa mara
2. FAIDA na HASARA ya mkuu wa nchi KUTOKUSAFIRI mara kwa mara
Baada ya hapo kama taifa, tutakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujua; lipi ni zuri kwa maslahi mapana ya nchi yetu
Kama ndege zimepata mtumiaji mwache atumie. Shida ni shida na itabaki kuwa shida pale pale.
JK= SSHKusafiri kwa Rais siyo tatizo, shida ni pale Rais anaposafiri na kwenda ulaya kubembea kwenye mabembeo akiwa na mkewe hapo ndipo shida inapoanzia.
View attachment 1781809