Hueleweki. Jpm ndiye alileta covid-19? Ndiye aliyeleta sayansi na teknolojia? Jikite kwenye mada- faida na hasara za rais kusafiri/kutosafiri mara kwa mara.Kovidi-19 imetufundisha kwamba hakuna haja ya kusafirisafiri, hususan katika ulimwengu huu wa utandawazi na sayansi & teknolojia. JPM alikuwa nabii wa sayansi ya siasa. ^Jina lake lihifadhiwe katika makabati yote ya Afrika^
Ndo maana yake.Libaba litaganda tu nyumbn mi nife na njaa??Kwa hiyo akili yako inakuwa na mawazo ya kuomba babako asafiri kila uchao ili uletewe zawadi eehπ¬?
HahahahahahahahaRais wa nchi anapaswa kusafiri mara kwa mara akakutane na marais wenzake wapange mipango ya maendeleo ya nchi zao.
Hilo pia litamfanya rais ajiweke mbali na udaku wa nyumbani.
Rais akikaa sana nyumbani anakosa cha kufanya.
Ataanza tabia za udaku, itakuwa kila siku ni kudukua simu za watu wake asikie wanao msengenya.
Akili Ndogo.Aliyesafiri alikuwa anapata hela za kuongeza mishahara na kuajiri wapya,
Asiyesafiri kubana matumizi wote tunajua kilichotokea π€£π€£π€£π€£
Watu mna propaganda za kijingaKulikuwa na mkuu wa nchi aliyesafiri ndani ya nchi Dar-Dodoma-Mwanza-Geita-Kagera na misafara ya magari karibia 50 na helicopter, na kila mkoa anaopita lazima wenyeji RC, DC, polisi wamsindikize, gharama ya muda na mafuta, na per diems. Kisha alichokifanya majukwaani ni kutusi mabeberu, na kujisifia.
Kwangu ni BORA anayesafiri ndani na nje ya nchi, kwa ndege, huku akijenga mahusiano na nchi jirani, bila kuwananga majukwaani.
Everyday is Saturday............................... π
Na ndevu zote hizo π¬ huoni haibu!.Ndo maana yake.Libaba litaganda tu nyumbn mi nife na njaa??
Mwerevu, leta zako zenye akili.Watu mna propaganda za kijinga
Miaka mitano ya awamu ya tano:-Ndani ya miaka 10 ya utawala wa awamu ya nne, ilitufanya wananchi tuamini kuwa ni jambo la lazima kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi.
Lakini kwenye miaka 5 ya awamu ya tano, ikatufanya wananchi tuamini tofauti tena, kuwa kumbe sio jambo la lazima sana kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi.
Hii inaweza kuwa fursa nzuri sasa, kwa sisi wananchi kufungua MJADALA kwa kupima
1. FAIDA NA HASARA ya mkuu wa nchi KUSAFIRI mara kwa mara
2. FAIDA na HASARA ya mkuu wa nchi KUTOKUSAFIRI mara kwa mara
Baada ya hapo kama taifa, tutakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujua; lipi ni zuri kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
Viva JPMKovidi-19 imetufundisha kwamba hakuna haja ya kusafirisafiri, hususan katika ulimwengu huu wa utandawazi na sayansi & teknolojia. JPM alikuwa nabii wa sayansi ya siasa. ^Jina lake lihifadhiwe katika makabati yote ya Afrika^
Madhara ya kutosafiri ni kwamba kiongozi anakua iddle mpk anaanza kusikiliza simu za kina mchange na jokate wakitongozana.Kovidi-19 imetufundisha kwamba hakuna haja ya kusafirisafiri, hususan katika ulimwengu huu wa utandawazi na sayansi & teknolojia. JPM alikuwa nabii wa sayansi ya siasa. ^Jina lake lihifadhiwe katika makabati yote ya Afrika^
Kusafiri kunasaidia kwani tungepata soko la korosho kuliko ilivyotokeaNdani ya miaka 10 ya utawala wa awamu ya nne, ilitufanya wananchi tuamini kuwa ni jambo la lazima kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi.
Lakini kwenye miaka 5 ya awamu ya tano, ikatufanya wananchi tuamini tofauti tena, kuwa kumbe sio jambo la lazima sana kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi.
Hii inaweza kuwa fursa nzuri sasa, kwa sisi wananchi kufungua MJADALA kwa kupima
1. FAIDA NA HASARA ya mkuu wa nchi KUSAFIRI mara kwa mara
2. FAIDA na HASARA ya mkuu wa nchi KUTOKUSAFIRI mara kwa mara
Baada ya hapo kama taifa, tutakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujua; lipi ni zuri kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
Covid-19 is a physical and environmental factor that affect business, people leave in defensive mode hence purchasing power decreaseKovidi-19 imetufundisha kwamba hakuna haja ya kusafirisafiri, hususan katika ulimwengu huu wa utandawazi na sayansi & teknolojia. JPM alikuwa nabii wa sayansi ya siasa. ^Jina lake lihifadhiwe katika makabati yote ya Afrika^
Ndani ya miaka 10 ya utawala wa awamu ya nne, ilitufanya wananchi tuamini kuwa ni jambo la lazima kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi.
Lakini kwenye miaka 5 ya awamu ya tano, ikatufanya wananchi tuamini tofauti tena, kuwa kumbe sio jambo la lazima sana kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi.
Hii inaweza kuwa fursa nzuri sasa, kwa sisi wananchi kufungua MJADALA kwa kupima
1. FAIDA NA HASARA ya mkuu wa nchi KUSAFIRI mara kwa mara
2. FAIDA na HASARA ya mkuu wa nchi KUTOKUSAFIRI mara kwa mara
Baada ya hapo kama taifa, tutakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujua; lipi ni zuri kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
ππππna zote zinagawika kwa 2" Usinikumbushe awamu ya nne,ninaona hata awamu ya sita imeanza kufanana na awamu ya nne"
Hahahaa mi bado npo shule.Baba abatakiwa kutoka kutafuta ada.Ni jukum lakeNa ndevu zote hizo π¬ huoni haibu!.
Hebu acha uvuvi kutegemea babako nenda kalime!.
Lilikuwa gonjwaKovidi-19 imetufundisha kwamba hakuna haja ya kusafirisafiri, hususan katika ulimwengu huu wa utandawazi na sayansi & teknolojia. JPM alikuwa nabii wa sayansi ya siasa. ^Jina lake lihifadhiwe katika makabati yote ya Afrika^
Rais wa nchi anapaswa kusafiri mara kwa mara akakutane na marais wenzake wapange mipango ya maendeleo ya nchi zao.
Hilo pia litamfanya rais ajiweke mbali na udaku wa nyumbani.
Rais akikaa sana nyumbani anakosa cha kufanya.
Ataanza tabia za udaku, itakuwa kila siku ni kudukua simu za watu wake asikie wanao msengenya.
Madhara ya kutosafiri ni kwamba kiongozi anakua iddle mpk anaanza kusikiliza simu za kina mchange na jokate wakitongozana.
Waajiriwa inchi hii hawafiki hata 1m kati ya 50m.Aliyesafiri alikuwa anapata hela za kuongeza mishahara na kuajiri wapya,
Asiyesafiri kubana matumizi wote tunajua kilichotokea π€£π€£π€£π€£