Mkuu wa nchi lazima awe mkali na aogopwe. Asipoogopwa kila kitu kitakwenda mrama. Hata hayati Julius Nyerere aliogopwa na alikuwa mkali

Madaktari na manesi wote waajiriwe na DMO au Halmashauri ili iwe rahisi kufukuzwa kama hujitumi kuhudumia wagonjwa kwa wakati uliopangiwa.

Tatizo linaanza na mfumo wa uajiri ambapo wafanyakazi wa sekta nyingi mamlaka yao ya usimamazi ni wizara. Halmashauri ndizo zinapaswa kuwa zinaajiri madaktari, walimu, manesi, polisi.
Kama mkuu wa nchi sio mfuatiliji hata uongozi wa chini amfuatiliani.
 
Hakuna Mtanzania anayependa kufanya kazi bila kusukumwa.

Ndio maana sasa hivi ubora wa huduma za umma umeshuka sana.

Tunapewa majibu ya hovyo na hatuna cha kuwafanya.
Ulienda ofisi gani ukapewa majibu ya hovyo? Maana mnauzushi sana nyie chawa wa marehemu
 
Kwa hiyo wewe na vilaza wenzako mnasubiria Rais aje kuwapingia majukumu na muda sahihi wa kufanya kazi?!
Pumbavu kabisa, ndio maana umaskini umeamua kukita kambi kwetu.
Siyo sisi tu, Watanzania wote ndio tulivyo.

Angalia taasisi zote za umma sasa hivi, hali ni hiihii.

Tunakula kwa urefu wa kamba zetu, kila mmoja kwa nafasi yake.
 
Wekeni katiba Imara sasa yenye checks and balances kati ya mhimili
Hatutaki raisi anayeruhusu mali za nchi ziliwe kwa urefu wa kamba za wateule wake
 
Nani amelalamika?

Tunakula kwa urefu wa kamba zetu sasa hivi.

Hatuna nidhamu ya woga, Mungu atupe nini!!?
 
Magufuli hakuwahi kuja hospitalini ila kazi zilifanyika.

Aliwabana wa juu, chain ikaja hadi chini.

Mifumo yote ilikuwa imara enzi zake.
 
Madaktari na manesi wote waajiriwe na DMO au Halmashauri ili iwe rahisi kufukuzwa kama hujitumi kuhudumia wagonjwa kwa wakati uliopangiwa...
Swala la ajira halitokani na mawazo ya mtu linatokana na sera ya kimataifa na ndio maana kuna sheria za ILO zinazo walinda watumishi ulimwenguni

Ingekuwa hali iko hivyo kama unavyotaka wewe basi watu wengi wange pata ajira kwa kutoa papuchi na wangefukuzwa kazi kwa kugoma kutoa papuchi

Huwezi ukaweka rehani ajira ya mtu aliyo isomea kwa miaka zaid ya kumi iwe chini ya mti mmoja ambaye hujui kesho ataamkaje.
 
Eti nidhamu ya moyoniπŸ˜‚. Yani huyu mama kuna kitu anaficha. Ona jinsi wazungu wanakuja kumuona. Nina shaka tunasalitiwa msimamo wa kimapinduzi wa nchi yetu. Si muda tutakua vibaraka wa magharibi.
Mungu atusaidie tu kwa kweli.
 
Sasa hakuna nchi duniani iliyoendelea kwa mfumo huo mnaotaka wa Rais kuwa msimamizi wa madaktari, manesi, walimu, TRA, polisi, immigration, kilimo n.k
Tafufuteni mfumo mwingine, miaka 60 imetosha kuwapa funzo.
Siyo sisi tu, Watanzania wote ndio tulivyo.

Angalia taasisi zote za umma sasa hivi, hali ni hiihii.

Tunakula kwa urefu wa kamba zetu, kila mmoja kwa nafasi yake.
 
Magufuli hakuwahi kuja hospitalini ila kazi zilifanyika.

Aliwabana wa juu, chain ikaja hadi chini.

Mifumo yote ilikuwa imara enzi zake.
Huna lolote chawa wa marehemu wewe unampambania mfu? Kwa hivyo unataka afufuke aje aongoze tena au unatakaje?
 
Peleka upimbi huko.
Ni ushamba na ujinga unawasumbua.

Hauhitaji ukali wala kuogopwa ili kuongoza nchi kwa mafanikio.
Tumekuwa tukisisitiza, nchi hii inahitaji taasisi imara. Na sio tu taasisi imara lakini hata ile mihimili mitatu iwe huru na imara.

Ujinga wa ukali, kufoka na kutishiana, mkafanyiane huko na michepuko yenu. Pumbavu.
 

Nimecheka kwa nguvu, kwahiyo picha ya rais iko ukutani maana ni Mungu?! Kwahiyo ukizingua hakuna sheria za kukuwajibisha, bali mpaka rais akuchukulie hatua kali?
 
Taasisi imara unaipataje
Kama hakuna mtu anae mwambia mtu ukweli kama amezingua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…