The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Si bora yangu duni kuliko wewe mjinga 👇Elimu yako ni duni sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si bora yangu duni kuliko wewe mjinga 👇Elimu yako ni duni sana.
Kama mkuu wa nchi sio mfuatiliji hata uongozi wa chini amfuatiliani.
Ulienda ofisi gani ukapewa majibu ya hovyo? Maana mnauzushi sana nyie chawa wa marehemuHakuna Mtanzania anayependa kufanya kazi bila kusukumwa.
Ndio maana sasa hivi ubora wa huduma za umma umeshuka sana.
Tunapewa majibu ya hovyo na hatuna cha kuwafanya.
Siyo sisi tu, Watanzania wote ndio tulivyo.Kwa hiyo wewe na vilaza wenzako mnasubiria Rais aje kuwapingia majukumu na muda sahihi wa kufanya kazi?!
Pumbavu kabisa, ndio maana umaskini umeamua kukita kambi kwetu.
Hatutaki raisi anayeruhusu mali za nchi ziliwe kwa urefu wa kamba za wateule wake
Wewe unaishi mbinguni?Wekeni katiba Imara sasa yenye checks and balances kati ya mhimili
Nani amelalamika?Wakaanga sumu utawajua tu. Malalamishi daily utafikiri wao ni watanzania zaidi ya wengine Nyie wafia legacy sonoma itawaua kabla ya 2025. Au nasema uwongo ndugu zangu?! Hakuna cha legacy; mberee kwa mberee!
Cc Nyakarungu. Kukaanga sumu haiwasaidii. Fanyeni kazi, ongezeni pato lenu lisheni familia zenu na jamaa zenu. Mzee Makamba kataamka wazi juzi kwamba sasa hivi kila moja wenu analamba asali.
Magufuli hakuwahi kuja hospitalini ila kazi zilifanyika.Kinachotakiwa ni kujenga mifumo na taasisi imara, badala ya Rais kuja kuwasimamia manesi hospitalini ili mfanye kazi zenu vizuri inapaswa madaktari na manesi waajiriwe na Hospital husika au DMO kwa mikataba maalumu badala ya ajira za kudumu zinazotolewa na utumishi.
Swala la ajira halitokani na mawazo ya mtu linatokana na sera ya kimataifa na ndio maana kuna sheria za ILO zinazo walinda watumishi ulimwenguniMadaktari na manesi wote waajiriwe na DMO au Halmashauri ili iwe rahisi kufukuzwa kama hujitumi kuhudumia wagonjwa kwa wakati uliopangiwa...
Mungu atusaidie tu kwa kweli.Eti nidhamu ya moyoni😂. Yani huyu mama kuna kitu anaficha. Ona jinsi wazungu wanakuja kumuona. Nina shaka tunasalitiwa msimamo wa kimapinduzi wa nchi yetu. Si muda tutakua vibaraka wa magharibi.
Siyo sisi tu, Watanzania wote ndio tulivyo.
Angalia taasisi zote za umma sasa hivi, hali ni hiihii.
Tunakula kwa urefu wa kamba zetu, kila mmoja kwa nafasi yake.
Huna lolote chawa wa marehemu wewe unampambania mfu? Kwa hivyo unataka afufuke aje aongoze tena au unatakaje?Magufuli hakuwahi kuja hospitalini ila kazi zilifanyika.
Aliwabana wa juu, chain ikaja hadi chini.
Mifumo yote ilikuwa imara enzi zake.
Usukuma unakusumbua haki! 'Sang'udi'Mungu atusaidie tu kwa kweli.
unataka mkuu wa nchi aje kufuatilia mahudhurio kazini?Kama mkuu wa nchi sio mfuatiliji hata uongozi wa chini amfuatiliani.
Peleka upimbi huko.Mkuu wa nchi ambae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania.
Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza?
Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu alikuwa mkali sana.
Ilitokea akikuita kwake Msasani au Ikulu ilikuwa lazima upate wasiwasi na woga mkuu.
Wengine aliwaita kuwapongeza lakini hawakuamini walichoitiwa wapo pia aliowafokea hadaharani au hata kifichoni.
Kwamba mkuu wa nchi unafanya kazi kwa kuonea aibu wateule wako? Kwamba utakuwa unawabembeleza?
Mbona hii sio sawa? Mkuu wa kaya lazima uwe mkali ili nidhamu ipatikane kuanzia juu mpaka chini.
Hatusemi ufokee watu kama watoto wako. Bali uwe na maamuzi na maelekezo yenye kuonyesha kuwa kuna kiongozi mwenye mamlaka aisiyetaka mzaha na anataka watu wafanye kazi.
Mfano, tulitegemea umkaripie January Makamba maana mradi wa JNHP unaweweseka kama vile hauna manufaa kwa wanaCcM wenzake.
Kuna vitu vingne unashangalia tofauti na hyo kutokufokewa.You are too local and too mannual.
Siku hizi inaongoza akili, teknolojia na uchumi imara sio kufoka foka.
Ujinga kabisa.unataka mkuu wa nchi aje kufuatilia mahudhurio kazini?
Labda unakuwa na uelewa mdogo ndio maana unashindwa kuelewa vitu vidogo kabisa. Unadhani kwa nini ofisi za umma zina picha ya rais?
Kuogopa simaanishi kumuabudu bali kutii na kuzingatia wakijua kuna mkuu wa nchi ambaye anaweza kuchukua hatua kali ukizingua
Taasisi imara unaipatajePeleka upimbi huko.
Ni ushamba na ujinga unawasumbua.
Hauhitaji ukali wala kuogopwa ili kuongoza nchi kwa mafanikio.
Tumekuwa tukisisitiza, nchi hii inahitaji taasisi imara. Na sio tu taasisi imara lakini hata ile mihimili mitatu iwe huru na imara.
Ujinga wa ukali, kufoka na kutishiana, mkafanyiane huko na michepuko yenu. Pumbavu.
iam curious to know......Nini kimemkumba mkuu wa nchi yetu?