Kiongozi Ukiwa mwadilifu,mpen da haki,muwazi, unauependa matokeo mazuri.na makubwa, ...honest,Integrity,principled(Kingereza kwa msisitizo) ...watu watakuogopa by Default...!
JPM hakuwa na hayo ,kama alikuwa nayo kidogo sana ....yeye aliogopwa Kwa kuwa alikuwa mkali ,anatisha,haaminiki,hatabiriki,roho Mbaya,fyatu.....Ili uelewe ZAIDI ilikuwa mi sawa na Mtu Mwenye Sura Mbaya ambaye watoto hutishiwa wasifanye Kitu Fulani!
Nyerere alikuwa anaogopwa kutokana na uadilifu wake,matendo yake mazuri Kwa umma yalimfanya atishe....tena waliokuwa wanamwogopa ZAIDI,ni wazembe,wasio waadilifu ...wasiojiamini...vilaza!
Unafikiri Mtei,Sokoine au Kambona Walikuwa wanamwogopa...Tafuta picha za Nyerere na Sokoime uone body language ya Mwalimu AKIWA na Sokoine [emoji16]
Bahati Mbaya hivi vitu havilazimishwi vinakuja tu na Karama kutoka Kwa Mungu!
Ukilazimisha itafikia kuanzaa kutesa,kukandamiza watu ,pengine hata kuua!
Kwa Chief Hangaya...wote mnamjua ...no comment?[emoji2960][emoji2960][emoji16][emoji16]
Mwisho,hata sisi wananchi tupo tulio na Karama hizo...basi tu hatujapewa jukwaa ,Ndio maana Tunadai Katiba Mpya Ili I- Gorvene ' Uendeshaji wa Nchi ..kuwathibiti Makarmastili kama Nyerere na wale wanaotaka kuwa Makarasmatiki kimichongo!
Na wasio eleweka pia !
Mungu Ibariki TANZANIA!