Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.. umewahi kuwa karibu na huyo bint?
2. Mara ngapi amekuwa akiuza duka lako au wakati gani?
3. Kama ulikuwa msaada kwa mama na baba wa mtoto imekuaje nao wakugeuke ikiwa hakukuwa na nia yoyote ovu kwa mtoto?
Wote hawawezi kutumia nguvu na resources against you bila ya sababu ya msingi, viongozi wako wanasababu ya kuku-pin vipi kuhusu hao uliokua unawasaidia? Kama ni ushahidi wa kutengeneza mashimo yangekua mengi na ingeonekana kuanzia mwanzo kwamba kuna kitu hakipo sawa , na ubaya zaidi mashahidi walikua wanahojiwa mbele yako , embu tuambie ukiacha ushahidi wa maneno kipi kingine wanakitumia kama ushahidi?Naomba uniweke wazi ulichokigundua kinafichwa, naamini itakuwa ni msaada kwangu
MkuuHapana sijaenda mkuu
Nakubaliana nawewe mkuu. Hapo pia sijaona pccb kuhusika.Mh maelezo yanatia uwalakini kidogo. Iweje watu wote hao wakubaliane kirahisi na uongo wa mkuu wa shule?
Kuanzia mzazi, mwanafunzi, mratibu, afisa elimu na tcs? Hata walimu wenzio wanaojua ukweli walishindwa kabisa kupenyeza taarifa kwa wahusika au ndo wote hao walipangwa na mkuu wa shule au wote hao wana chuki? Kufukuzwa kazi serikalini siyo ishu rahisi hata kidogo kuna jambo nyuma ya pazia ambalo hauko tayari kuliweka wazi
Baba mlezi atakuwa amelishwa sumu mkewe kuliwa na jamaaHilo la kuwa na mkewe walau lina ka uzito fulani. Maana haonekani tena mke wa rafiki kumsaidia kwa lolote wakati yeye ndio wanajuana kuliko hata huyo baba mlezi.
1. Kwa nini umuuzishe mwanafunzi duka? Kumbe hukuwa smart.1. Ndiyo nilikuwa na ukaribu naye lakini wa kawaida sana.
2. Amewahi kuuza duka langu mara mbili, baada ya vipindi kabla ya saa kumi na mbili.
3. Naamini ni baada ya kupoteza uelekeo na kutokujua hasa ni kitu gani walichokuwa wanakihitaji kwa ajili ya mtoto, kwa sababu baada ya kesi kugeuzwa hakuna aliyeendelea kufuatilia tatizo la usajili na mtoto HAKUSAJILIWA moja kwa moja.
Kw kawaida walimu wa kiume hata mtoto akikuomba atumie simu yako kuwasiliana na wazazi wake kataakatakata1. Kwa nini umuuzishe mwanafunzi duka? Kumbe hukuwa smart.
2. Huo ukaribu na mtoto wa kike wewe mwalimu hamjafundishwa kuwa na social distance?
Hapa ndio maswali huja jamii ni ngumu kukurlewa hata kama ulikuwa na nia njema1. Kwa nini umuuzishe mwanafunzi duka? Kumbe hukuwa smart.
2. Huo ukaribu na mtoto wa kike wewe mwalimu hamjafundishwa kuwa na social distance?
Kama kila kitu kinatakiwa kichukuliwe hivyo basi shule za kike zisingekuwa na walimu wa kiume.1. Kwa nini umuuzishe mwanafunzi duka? Kumbe hukuwa smart.
2. Huo ukaribu na mtoto wa kike wewe mwalimu hamjafundishwa kuwa na social distance?
Kuna namba kule itumie kama nilivyokuelekeza anaweza kukusaidia!!Nadhani ni ishu ndogo ya wao kukaa na kupangana, Askari aliwakataa. hao wengine naomba msaada wa mawazo pia
Kwa ubishi huu sasa unaona unachokutana nacho? Walimu wa kiume wapo ukaribu wako na mwanafunzi unaishia Darasani, Shuleni.Kama kila kitu kinatakiwa kichukuliwe hivyo basi shule za kike zisingekuwa na walimu wa kiume.
Kuna umuhimu wa kwenda mazingira halisi zinakofanyikia kazi ndo uhalisia wa kila kinachoendelea kinaweza kuthibitika
Kwa ubishi huu sasa unaona unachokutana nacho? Walimu wa kiume wapo ukaribu wako na mwanafunzi unaishia Darasani, Shuleni.Kama kila kitu kinatakiwa kichukuliwe hivyo basi shule za kike zisingekuwa na walimu wa kiume.
Kuna umuhimu wa kwenda mazingira halisi zinakofanyikia kazi ndo uhalisia wa kila kinachoendelea kinaweza kuthibitika