Mkuu wa Silaha wa Hamas, Mahsein Abu Zina auawa

Una uhakika na Hilo?

Katibu mkuu UN aliwaambia Israel watoe ushahidi Hamas wameua raia kwenye tamasha,wakatoa macho tuu.

Hamas wenyewe ndio walirusha zile video za kuua watu kikatili huku wakimtukuza allah.
 
News Sources ?
 
Hivi huwa wanaingilia mawasiliano yao?
Yaani US and Israel, kupitia NSA National Security Agency - Wikipedia

Ni hatari sana hiyo NSA wanasikiliza mtu yeyote dunia hii na marais, au magaidi au wafalme nchi zote wananasa maongezi yao, mtu yeyote wanaye mtaka, au neno lolote wanalotaka kusemwa linaingia kwenye system, mfano sauti ya mtu huyo inakuwa kwenye system, akiongea tu sehemu yoyote duniani wanajua yuko wapi na anaongea na nani na kila kitu..
 
Ni hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…