Mkuu wa Ujasusi wa Rwanda, Lt. Gen Kayumba Nyanwasa, asema Kagame ni chanzo cha matatizo yote Congo na maziwa makuu

Akiwa SA atamuua tu...akini watu wamecjpka ma PK
Yap,ingawa bado PK anamlia timing amle kichwa hapahapo south.

Ajiandae kudedishwa tu maana kagame kama mosad tu wanakuchukua popote ulipo
Mnayemsema ni jasusi wa viwango vya juu, hizo hofu mnazoanza kuwa nazo baada ya kumsoma alikwishaziwazia kabla hajaapishwa kile cheo, kabla hajatoroka nchi, hajafanyiwa jaribio la kwanza na kabla hajafanya hii interview.

Mnahofia kitu ambacho anakijua kwa undani kuwazidi. Suala la kuuwawa hata kwa Kagame mwenyewe mbona attempt iliishafanyika na wala haitokuwa ajabu yeye kuuwawa.
Kuna levels mtu anakuwa amevuka kutishiwa kufa, sio migambo hawa.
 
Mkuu ukiwa ugenini huna ulinzi huna bacl up huna inforner wako uko alone unajificha sana...kosa kujulikama unapoishi.....miaka inaenda huwajui new recruits huwa wanauawa kirahisi sana hata na wahudumu wananunuliwa.....sukia tu ukiwa uhamishonii.....lolote laweza kutokea....PK ana pesa chafu kupoteza....hata miaka 10 anakutumia watu tuu wengine wanasoma wengine biashara....wengine wanawanunua watu wako karobuuu watajua tu....traces kupewa pesa zako watajua address yako....au kwenda bank kutoa pesa kula matumiziiii......sikia tuu mkuuu....watu 10 wapewe kaxi track wewe miaka 5 mingi watajua kitu tuuu
 
Hata kama ingekuwa ni kweli, Je hicho ndicho chanzo cha vita Mashariki ya Congo??
Mkuu si umesikia huyo Lut General hapo anasema PAKA ndiye chanzo...
Imagine PAKA hayupo unafikiri kungetokea vita?
Huyu mzee ni mgomvi mgomvi sana na anapenda vita, ameshasikika mara kibao akiongea kauli tata za kuhatarisha amani kusini mwa bara la Africa.

Anapenda migogoro sana, kuna mambo mengine unakuta ni ya kawaida tu kutumia busara za kiuongozi na utu uzima PAKA hayupo hivyo, ni mshari sana tena sana.
 
Kama ambavyo Kagame anatuhumiwa na UN hiyohiyo.

Kwahiyo Kagame naye hoja zake ambazo nyingi unakubali tuziite porojo?
Nyamwasa walikuwa pamoja na Kagame muda wote kuanzia miaka ya 1990's mpaka 2010 ilipoonekana Kagame anataka kumuondoa kabisa serikalini akakimbilia Africa Kusini ndipo akaanza kutoa hizi tuhuma zake.
 
Nyamwasa anatuhumiwa na Umoja wa Mataifa kuanzisha kundi la mamluki wa kijeshi linaloitwa P5 (Platform Five) nchini Congo DRC kupambama kumuondoa Kagame madarakani kijeshi.
Hamna kitu kama hicho, kasema hayo mashtaka hayana ukweli kwani hata mahakama ilifanya uchunguzi wa mashtaka na kukuta hana hatia.
 
Amekiri Rwanda inaiba madini Congo na kupeleka Rwanda kwa ajili ya kuyauza nje na anasema kila eneo wanaloshika M23 lenye madini, madini uanza kusafirishwa haraka kwenda Rwanda.
Mnasahau hapo aliposema Rwanda inaiba madini yenyewe bila msukumo au ushirikiano wa taifa lolote la nje!
 
Akubali alishindwa kuukata ule mchongoma alipojaribu kuipindua, porojo tu aenda uwanja wa vita akasaidie japo kwa kuwapa strategies wapiganaji anaowa-support. Vita si porojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…