alipataje hivyo vyeo ilihali anaonekana hata miiko ya kazi yake hajui,? anawezaje kupractice mambo ya dini yake huku akiwa ndani ya sare za jeshi la polisi?
Ukisikia sehemu kuna mtu wa imani sana ya kidini anaanza kuchonga Safina tushtuane! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Wakuu natafakari hivi vifo isije ikawa Mwenyezi Mungu ndio anachukua waja wake wema ili tutakaobaki abonyeze button ya kumaliza mchezo.
Wewe kama unajua weka unachokijua kama ni sahihi..Hakuna unachokijua
trash.....
Kwa mujibu wa zito kabwe kuna chuma kimepiga chini.
Kwamba unatak kusema ameuwawa? Ni ahadi tu imefika..tuamini hivyo.na sidhani kama kuna kibaya kakifanya huko kazini..yeye na mola wake ndo wanajua zaidiKifo chake kimeacha maswali mengi bila majibu
Lakini tujiulize kwenye utumishi wake hakuna makando kando yoyote aliyofanya marehemu?
Let's say kukiuka miiko ya kazi yake?
Mungu ampe pumziko la amani
Wapi sheria za tanzania zinakataza uhuru wa kuabudu ikiwa mtu kavaa sare za kazini? Hivi unajua chochote kuhusu haki na uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Kwa maana hiyo unataka kusema ni marufuku kwa jeshi au askari kusali akiwa kambini au kituoni? Au kuna tofuati gani akifanya ibada zake akiwa na hizo uniform? Kuabudu mtu anaabudu akiwa na vazi lolote lile kwa kadiri imani yake inavyomruhusu na hakuna sheria hata moja inayomzuia mtu kufanya hivyo. Ingekuwa hilo ni kosa kama unavyodhani basi angeshawajibishwa na hao wakubwa lakini badala yake ndo kwanza walimpandisha vyeo.na madaraka juu..Ila Mungu akaona amchukue mapema maana huwenda hivyo vyeo/madaraka visingekuwa na kheri kwake au ndo ingekuwa sababu ya kumuasi mola wake mlezi.
Nimepokea taarifa za msiba kwa masikitiko nimemfahamu vema toka nikiwa primary mwanzoni mwa miaka ya 2000's alipokuja kuanza kazi kituo Cha polisi jirani na nyumbani. Alikuwa anapenda Sana watoto nilimzoea alipokuwa anakuja home kupata mawaidha kwa mshua. Ni mpambanaji mzuri alipoajiriwa baadae kidogo alikwenda kusoma ualimu then shahada ya sheria na kwa mda mrefu akawa mwendesha mashtaka wa polisi baadae sikuwahi kumwona Tena hadi juz juz alipokuwa anaghani quraan tukufu. Umeondoka mapema Sana broo nakumbuka enzi hizo ulikuwa na demu mkali Sana anaitwa Abia mzuri haswa mrefu na figa Kama mnyarwanda.
Wengi wenye Imani Wana busara umeona mbali Sana,Wapi sheria za tanzania zinakataza uhuru wa kuabudu ikiwa mtu kavaa sare za kazini? Hivi unajua chochote kuhusu haki na uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Kwa maana hiyo unataka kusema ni marufuku kwa jeshi au askari kusali akiwa kambini au kituoni? Au kuna tofuati gani akifanya ibada zake akiwa na hizo uniform? Kuabudu mtu anaabudu akiwa na vazi lolote lile kwa kadiri imani yake inavyomruhusu na hakuna sheria hata moja inayomzuia mtu kufanya hivyo. Ingekuwa hilo ni kosa kama unavyodhani basi angeshawajibishwa na hao wakubwa lakini badala yake ndo kwanza walimpandisha vyeo.na madaraka juu..Ila Mungu akaona amchukue mapema maana huwenda hivyo vyeo/madaraka visingekuwa na kheri kwake au ndo ingekuwa sababu ya kumuasi mola wake mlezi.
Super.
mkuu hapo umenichanganya kidogo.
yaani alikuwa ameshajiunga na upolisi tayar halaf akaenda kusomea ualimu kisha sheria.
Ni ualimu wa aina gani alisomea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda wa polisi wilaya anatambulika kama OCDHivi wilaya inakuwa na Kamanda wa Police? Ufafanuzi taf.. R. I. P
Sent using Jamii Forums mobile app
OC CID sio cheo ni nyafidha ila marehem alikuwa na cheo cha ASP nyota 3Msaada tafadhali occid ni cheo gani na mwenye nacho ana majukumu gani pia nataka nijue vyeo vyake vya begani