TANZIA Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Ukerewe, Masoud Mohamed akutwa hotelini akiwa ameaga dunia

alipataje hivyo vyeo ilihali anaonekana hata miiko ya kazi yake hajui,? anawezaje kupractice mambo ya dini yake huku akiwa ndani ya sare za jeshi la polisi?
Wapi sheria za tanzania zinakataza uhuru wa kuabudu ikiwa mtu kavaa sare za kazini? Hivi unajua chochote kuhusu haki na uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Kwa maana hiyo unataka kusema ni marufuku kwa jeshi au askari kusali akiwa kambini au kituoni? Au kuna tofuati gani akifanya ibada zake akiwa na hizo uniform? Kuabudu mtu anaabudu akiwa na vazi lolote lile kwa kadiri imani yake inavyomruhusu na hakuna sheria hata moja inayomzuia mtu kufanya hivyo. Ingekuwa hilo ni kosa kama unavyodhani basi angeshawajibishwa na hao wakubwa lakini badala yake ndo kwanza walimpandisha vyeo.na madaraka juu..Ila Mungu akaona amchukue mapema maana huwenda hivyo vyeo/madaraka visingekuwa na kheri kwake au ndo ingekuwa sababu ya kumuasi mola wake mlezi.
 
Inaonyesha ni jinsi gani Watanzania tusivyojua sheria, hata hilo wameshindwa kuhoji ili hali miiko yake ya kazi haimruhusu kufanya hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, hongera sana kwa udadavuzi wako. Nashukuru umeongea kile kilichomo nafsini mwangu, maana wengi hawaelewi kama zile uniform ni mavazi tu hayamzuii mtu kufanya ibada, na kama ingekuwa si sheria mtu kuyatumia mavazi hayo kwenye ibada basi hiyo sheria ingekuwa iko wazi kwa maana hata wakuu mbali mbali wanayatumia kwenye ibada, asiyekubaliana na hili na azunguke miskiti mbali mbali mikubwa siku ya Ijumaa wakati wa swala ya Al jumaa. Na kama ingekuwa sheria hairuhusu angeshawajibishwa kitambo.
"Uhuru wa kuabudu upo majeshini ilimradi mtu asiharibu murua, taratibu, miiko, mila, desturi na maadili ya kazi yake"
[emoji120][emoji120][emoji120]

"رمضان كريم وصوم مقبول"
 
... innalillah wainna illayh raajiuun,

Hakika ya umauti ni ukweli na ni mawaidha tosha,na kila nafsi itaonja Radha yake na kila nyumba jeneza litatoka...
 
I
OC CID sio cheo ni madaraka, ambapo mwenye kuwa na madaraka hayo anaweza kuwa na cheo cha;
A.S.P (Assistant Superintendent of Police - Msaidizi mrakibu mwandamizi wa Polisi) Nyota tatu
Au
S.P (Superintendent of Police - Mrakibu mwandamizi wa Polisi) Ngao ya taifa isiyo na bibi na bwana

Mwenye madaraka hayo ni Ofisa ambae ni Mkuu wa idara inayohusika na upelelezi wa mambo ya jinai ngazi ya wilaya.
Kwa ngazi ya wilaya.

"رمضان كريم وصوم مقبول"
Ahsante sana kwa maelekezo yaliyotukuka
 
Huyu alikuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya(OC-CID)?? Alipitia Chuo cha Awali cha Polisi('Police Academy')? Alipitia Chuo cha Masomo ya Uongozi? Alijua miiko ya uvaaji wa Sare za Jeshi la Polisi? Idara ya Upelelezi iliruhusu au kubariki shughuli zake mitandaoni? Maswali ni mengi.. RIP.
Wale wa mkoa fulani walioingia ofisini na kuanza kusali na kukemea kwa sauti wakatangazwa kwenye taarifa za habari walifuata maadili gani? Kumbuka kazini kuna kuna mchanganyiko wa dini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu alikuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya(OC-CID)?? Alipitia Chuo cha Awali cha Polisi('Police Academy')? Alipitia Chuo cha Masomo ya Uongozi? Alijua miiko ya uvaaji wa Sare za Jeshi la Polisi? Idara ya Upelelezi iliruhusu au kubariki shughuli zake mitandaoni? Maswali ni mengi.. RIP.
Kifo chake kimeacha maswali mengi bila majibu

Lakini tujiulize kwenye utumishi wake hakuna makando kando yoyote aliyofanya marehemu?

Let's say kukiuka miiko ya kazi yake?

Mungu ampe pumziko la amani
 
Back
Top Bottom