JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,197
OCCID wa nyakati hiziHuyu alikuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya(OC-CID)?? Alipitia Chuo cha Awali cha Polisi('Police Academy')? Alipitia Chuo cha Masomo ya Uongozi? Alijua miiko ya uvaaji wa Sare za Jeshi la Polisi? Idara ya Upelelezi iliruhusu au kubariki shughuli zake mitandaoni? Maswali ni mengi.. RIP.