TANZIA Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Ukerewe, Masoud Mohamed akutwa hotelini akiwa ameaga dunia

TANZIA Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Ukerewe, Masoud Mohamed akutwa hotelini akiwa ameaga dunia

Very sad... juzi tu jamaa yangu kampost kumpa hongera ya cheo kipya, leo naona jamaa anapost Innalillah wainallahi rrajiun na picha yake.

Inaonekana hakuwa na nongwa, hata ukicheck post zake, yeye na dini tu. RIP
 
inna lillahi wa inna ilayhi rajioun.

IMG_20200509_002614.jpg
 
Msaada tafadhali occid ni cheo gani na mwenye nacho ana majukumu gani pia nataka nijue vyeo vyake vya begani
 
Naomba nifanye marekebisho hapa, Al marhum Afande Masoud ambaye alikuwa ni OC CID wa wilaya ya Ukerewe cheo chake alikuwa ni A.S.P (Assistant Superintendent of Police) na sio Inspector kama wengi wanavyosema. [emoji120][emoji120][emoji120]

"رمضان كريم وصوم مقبول"
 
Msaada tafadhali occid ni cheo gani na mwenye nacho ana majukumu gani pia nataka nijue vyeo vyake vya begani
OC CID sio cheo ni madaraka, ambapo mwenye kuwa na madaraka hayo anaweza kuwa na cheo cha;
A.S.P (Assistant Superintendent of Police - Msaidizi mrakibu mwandamizi wa Polisi) Nyota tatu
Au
S.P (Superintendent of Police - Mrakibu mwandamizi wa Polisi) Ngao ya taifa isiyo na bibi na bwana

Mwenye madaraka hayo ni Ofisa ambae ni Mkuu wa idara inayohusika na upelelezi wa mambo ya jinai ngazi ya wilaya.
Kwa ngazi ya wilaya.

"رمضان كريم وصوم مقبول"
 
Back
Top Bottom