TANZIA Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Ukerewe, Masoud Mohamed akutwa hotelini akiwa ameaga dunia

TANZIA Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Ukerewe, Masoud Mohamed akutwa hotelini akiwa ameaga dunia

mkuu hapo umenichanganya kidogo.
yaani alikuwa ameshajiunga na upolisi tayar halaf akaenda kusomea ualimu kisha sheria.
Ni ualimu wa aina gani alisomea?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejichanganya mwenyewe. Kwani polisi hawezi kusoma kozi ya kitu Fulani? We unafikiri polisi hawezi somea kozi ya ualimu?
Kiufupi ni hivi jamaa alikwenda kusoma ualimu kwa level ya diploma then baadae akajiunga chuo kikuu kusoma shahada ya sheria
 
Back
Top Bottom