Ana stress za utenguzi ujao
πππ
sikujua kama hata Kasesera ana wapambeMods unganisheni huu utopolo na ule uzi
Yaani karudia kama mara tatu hivi ni kuwa alikuwa kadhamiria kabisa[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwani mwanzoni kasema "tuliza mitako yako hiyo"Hahahaaaa.. . .DC anamtaka mwananchi atulize makalio!!
Kuna zaidi ya hiyo kauli ya matako?
Hafai kabisa hana maadili ya kiuongoziKuna zaidi ya hiyo kauli ya matako?
Halafu kuna member alikua anampigia debe huyu awe mkuu wa mkoa kwamba ana hekima kuliko Hapi
Hajasema makalio...unamlisha maneno..kasema matakoHahahaaaa.. . .DC anamtaka mwananchi atulize makalio!!
ππππHajasema makalio...unamlisha maneno..kasema matako
Fulastalasheni ya kutenguliwa next week
PDF file limevujaFulastalasheni ya kutenguliwa next week
Mtihani wa Kwanza huu kwa Rais Samia.