Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela amtukana dereva bajaji mbele ya vyombo vya habari

Status
Not open for further replies.
Viongozi wanatuhalalishia matusi. Mkapa alihalalisha 'pumbavu na lofa'. Huyu matako. Walete walete.

Ila tuwe siriasi, huyu si anaweza weka mtu ndani masaa 48, kwa jazba hizo si watu wataonewa. Hii sheria irekebishwe, mahakama pekee ndiyo ipewe nguvu ya kumtupa mtu ndani.

Wana JF tulizeni matako.
 
Naona dibo hapo alipandwa na hasira
Hahaha ila watu wanahudhi kuna siku nyingine atarusha ngumi nao

Ova
Huyu ndo Richard nimjuae niliesoma nae Mkwawa high school.Hata Ivo ni mtoto mjini.Namuomba apunguze kudemka atakua kiongozi mzuri siku zijazo
 
Huyu ni baba ana mke na watoto.

Aliyoyasema hadharani hapa napata picha akiwa nyuma ya camera akapatwa na ghadhabu hali huwa ikoje!

Kama ni stress au hasira kali si vyema kwa mustakabali wa afya yake!

Anahitaji ajifunze zaidi kuhusu anger and its management!kiutani tu ila inaweza mgharimu zaidi huko mbele bila yeye kujua!
 
Umenikumbusha daktari Kigwangalla na ile.....mzaha au siyo mzaha?
 
Jamaa ameshiba nyagi,'roho ya taifa '. Hatari sana,kama umeweka vitu sawasawa,kwepa hadhira
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…