Mkuu wa wilaya Kigamboni asema wanajeshi wanapiga na kuua wananchi

Mkuu wa wilaya Kigamboni asema wanajeshi wanapiga na kuua wananchi

Wewe raia unapata wapi jeuri ya kutuita sisi makamanda ni washamba?Nchi tumeiepusha kwenye kuvamiwa na maadui wewe unatuita washamba?hebu fafanua maana ya ushamba

maadui gani? ungelitwambia mkuu
 
Mzee Abdalah Majurah Bulembo ni mtu muelewa sana kisiasa na kimaadili . SIJUI NI KWANINI WATOTO WA VIONGOZI WAZURI HUWA HAWAWI WAZURI KAMA WAZEE WAO. KIDOGO RAIS WA ZANZIBAR YEYE AMEWEZA
Bulembo huyuhuyu aliyetaka Zitto auawe ama mwingine?
 
Back
Top Bottom