Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

kama hii ni kweli basi tumefikia pabaya
 
Hoja ya msingi ubovu wa kimchakato hadi kupatikama mtu wa hizo nafasi, kama sheria zinamruhusu mtu kumchagua hadi demu wake basi safari ni ndefu...ofcoz ana sifa 😒
 
Kuna siku mtasikia bibie ni ambassador nyota ya jaha imeanza kumuakia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…