Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

Angalia post yangu number 395 hapo juu, pamoja na post zilizofuata utaona..

Na ni zaidi ya hapo. Ukabila pia ndio balaa.
Kule Kisarawe wafugaji wa kabila 'lao' wanafanya hujuma kwa wakulima wa kijiji jirani bila wasi wasi wowote.
Wamepora ardhi ya kijiji jirani, wamejimilikisha ardhi hiyo, na mkuu huyo wa wilaya anafahamu, na hachukui hatua yoyote ile.
Juzi taki, wafugaji hao wa kabila 'lao' wamejipa mamlaka ya kupora eneo la kijiji jirani, na 'kulihamishia' kijiji kwao Mafizi huku mkuu wa wilaya huyo 'akibariki' zoezi hilo.
Wafugaji hao sasa ni 'untouchable', wanafanya hujuma kubwa kwa wakulima bila kujali vyombo vya dola, na ripoti zikipelekwa, wafigaji hao wanalindwa na mkuu wa wilaya.. !!
kama hii ni kweli basi tumefikia pabaya
 
Hoja ya msingi ubovu wa kimchakato hadi kupatikama mtu wa hizo nafasi, kama sheria zinamruhusu mtu kumchagua hadi demu wake basi safari ni ndefu...ofcoz ana sifa 😒
 
Back
Top Bottom