Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vunja ikulu, mteue Janeth are waziri W feels.Usigeuze JF kuwa chungu cha majungu! Ongelea uwezo wake, sio uhusiano wake...ungejisikiaje kama ungekuwa wewe unaomba kazi sehemu afu unanyimwa simply because wewe una undugu na rais...tuletee CV na track record ya performance sio mijungu
kama hii ni kweli basi tumefikia pabayaAngalia post yangu number 395 hapo juu, pamoja na post zilizofuata utaona..
Na ni zaidi ya hapo. Ukabila pia ndio balaa.
Kule Kisarawe wafugaji wa kabila 'lao' wanafanya hujuma kwa wakulima wa kijiji jirani bila wasi wasi wowote.
Wamepora ardhi ya kijiji jirani, wamejimilikisha ardhi hiyo, na mkuu huyo wa wilaya anafahamu, na hachukui hatua yoyote ile.
Juzi taki, wafugaji hao wa kabila 'lao' wamejipa mamlaka ya kupora eneo la kijiji jirani, na 'kulihamishia' kijiji kwao Mafizi huku mkuu wa wilaya huyo 'akibariki' zoezi hilo.
Wafugaji hao sasa ni 'untouchable', wanafanya hujuma kubwa kwa wakulima bila kujali vyombo vya dola, na ripoti zikipelekwa, wafigaji hao wanalindwa na mkuu wa wilaya.. !!
Anaandaliwa kikubwa zaidi.Yajayo yatamfurahisha,akae tayari.Happy kapigwa chini ama?
Kwasababu kuna watu wa maneno manenoMwalimu Nyerere aliwahi kusema Dar es salaam ni jiji la majungu
RC IringaHappy kapigwa chini ama?
Happy, sio hapi.RC Iringa
Baby upo? Nalia X wangu wa pili wa UDSM kaula. Yani hawa ma X wangu wanapendwa hivyo wakati mimi niliwaona potelea mbali! Dah!Happy kapigwa chini ama?
Kawa RAS yaani Katibu Tawala wa Mkoa wa IringaHappy, sio hapi.
Happy ni mtoto wa magu wa kulelewa ambae alikuwa dc kisarawe, ndo kapigwa chini na kupewa jojo
Kawa RAS Mkoa wa Iringa ambao RC mpya Ni Ally Hapi ambaye alikuwa KinondoniHappy kapigwa chini ama?
Kawa RAS Mkoa wa Iringa ambao RC mpya Ni Ally Hapi ambaye alikuwa Kinondoni
Nipo pole,wewe endelea kulilia wananchi huku wenzako wanakula shavu.Jiweke kwa Makonda lazima ukatibu tawala uupate.Huoni Jerry Murro ?Baby upo? Nalia X wangu wa pili wa UDSM kaula. Yani hawa ma X wangu wanapendwa hivyo wakati mimi niliwaona potelea mbali! Dah!
Wa bongo tuache fikira mfilisi. Hata Trump aliteue mtoto wake na mkwe wake kwenye nafari nyeti, nini cha ajabu ambacho JPM amekifanya. Mtoto elimu anayo, shida ipo wapi?.Hata sioni tatizo kama sifa anazo
Yule ni Hapi aliyekuwa DC KinondoniRC Iringa
Asante hubby nilifikiri wameamua kumuita kizunguYule ni Hapi aliyekuwa DC Kinondoni