nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
Ila naona vijana wengi wa enzi ya Kikwete wamepigwa chini wakiwemo akina Mzindakaya, Mpogoro, Kirigini, Liana, Muhingo n.k Hivyo vijana wanapopata hizi nafasi wajitathimini sana vinginevyo watakuwa wa miaka miwili tu!binafsi nampongeza rais kwa kuwateua vijana wenzetu katika nafasi hizi za wakuu wa wilaya ingawa wengi ni makada wa chama tawala. pia kuna jamaa za viongozi wastaafu ama waliopo madarakani. cha msingi tuwape muda kwanza juu ya utumishi wao kwa umma wa watanzania. tuwatakie kila la heri ..
Aliekuambia kachaguliwa kutokana masters yake ni nani? Uyo kapewa shavu tu kwa vile ni mtoto wake.Shida ipo wapi dogo kasoma akili zipo uwezo ni mkubwa unahofu nini?
uwezo gani huo angekuwa na uwezo asingepigwa chini viti maalum hana huko tanroad ameingia kwa mgongo wa baba yakeunakosea hajachaguliwa kwa undugu, uwezo wake ndo uliomfanya achaguliwe ana uwezo sana tangu akiwa tanroads
hebu taja sifa za kuwa mkuu wa wilaya tuzijueAkiwa mtoto wa JPM kama ana sifa ndiyo asiteuliwe. Mmeambiwa "Aidha, nafasi 78 za uteuzi wa Wakuu wa wilaya zimejazwa na watanzania wengine ambao wameteuliwa kwa mara ya kwanza wengi wao wakiwa ni vijana, wenye elimu ya kutosha na uzoefu katika maeneo mbalimbali".
Alikuwa anapambana hivyo hivyo wapi?hongera sana kwa huyo mh. mkuu wa wilaya ya kisarawe ana juhudi sana na hakati tamaa mapema ndo maana alipokosa viti maalum bado alikuwa anapambana hvyo hvyo
Kaka usingizi....Usingizi au Pombe!
Hakuna explanation nyingine!
Kati ya mteuliwa na mteuzi!Mkuu inabidi urudi darasani hujui nini maana ya conflict of interest. Mkuu wa wilaya ni mwakilishi wa rais wilayani. Unapozungumzia conflict of interest always Ina involves two parties. Sasa hiyo conflict of interest ni Kati ya Nani na nani