Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

Hata mm sioni shida wakati ni mtoto wa kumlea na Elimu anayo. Shida ni wale wakubebwa kwa kuangalia sura na makalio.
Ukuu wa wilaya hauangalii elimu yako,uDC ni position ya kisiasa zaidi kwasababu sio mtendaji yeye ni mtekelezaji tu.
 
Neno conflict of interest hutumiwa ktk mazingira kama haya!
Ni kama issue za tenders, huwezi kuipa tender kampuni yako, au kumfanyia interview mwanao!
Anyway Magufuli sio wa kwanza!
Nyerere alikuwa na ndugu Kibao ktk uongozi! Mkapa alikuwa na washkaji wa kutosha, the same kwa kikwete ambaye hata ndugu walikula position!
Si sawa Ila alichofanya is not uncommon!
Hapo kazi ipo. Hata kama kampuni yangu ndio iliyokizi vigezo isipate tender?
 
Even though safar ndiyo kwanza imeanza...2020 siyo mbali...waislam tuangalie ushirikishwaji katika uongoz wa awamu hii kisha tuwe na maamuz ya uhakika hapo baadae...wimbi hili limeanzia kuanzia kwa mawaziri na manaibu wazir..likaja kwa makatibu n manaibu katibu wakuu...ikaja kwa wakuu wa mikoa...na sasa tunaona kwa wakuu wilaya...asilimia zaid ya 90 tunaona ni mfumo wao umeshika hatamu...haya si mambo ya kuyafumbia macho hata kidogo...ifikie hatua tusimame na kusema kwamba black is black and white is white...something ia going on
 
Chakaza kwani wale watoto wa museven wana shida gani kama ishu ni qualification tu, sie tunasema ile kulelewa tu na mteuzi imemuondolea sifa kabisa. La sivyo hakuna tofauti na hao akina museven


Na pia kama Raisi Magufuli kulingana na maneno yako hana tofauti na Raisi Museveni pia hana tofauti na JF Kennedy Raisi wa 35 wa USA ambaye alimteua kaka yake Robert kuwa Mwanasheria Mkuu wa USA (Attorney General), hivyo usiishie kutoa mifano ya nchi masikini tu kutaka kuthibistiha unachokiamini tolea mifano pia na Wazungu wenu!
 
Usigeuze JF kuwa chungu cha majungu! Ongelea uwezo wake, sio uhusiano wake...ungejisikiaje kama ungekuwa wewe unaomba kazi sehemu afu unanyimwa simply because wewe una undugu na rais...tuletee CV na track record ya performance sio mijungu
CV bongo ? Tokea Lini cv za bongo zikawa bora ? Wenye cv bongo wengi ni shiiiida ! Kule bungeni Mwalimu wao wa siasa ni Livingston Lusinde kibajaji Hana CV hata moja, wenye cv akina Chenge, Tibaijuka, Kapuya na wenzao wamelifanyia nini Taifa ? Hata mwenye PHD mwakyembe alinunua mabehewa Feki na mjanja wa ccm mkuu wa maujanja , Uchakachuaji na kamati za Ufundi wa ccm January Makamba form six alipata zeroo... CV hazijawahi kukusaidia Taifa hili zaidi ya kutumika kupiga Dili tu.
 
Ndugu zetu wa mitandaoni imekula kwao,wamechanganyikiwa leo kuna kikao chini ya mti pale lumumba
 
Isitoshe sio baba yake wa kumzaa shida iko wapi hapo?. Tatizo tunalolikataa wananchi ni kubeba mtu asiyebebeka...huyo dada anayo elimu nzuri tu...
Hata kama angekuwa amemzaa, shida iko wapi kama anakidhi vigezo..?!
 
H
Hata kama angekuwa amemzaa, shida iko wapi kama anakidhi vigezo..?!
hakuna shida mkuu isipokuwa kuleta undugu kwenye kazi napo hupunguza ufanisi Nadhani ulijifinza Kipindi cha Kikwete alijaza Ndugu na marafiki uliona nini kilitokea .
 
Mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa ajibidiisheje? Wakati hivyo ni vyeo feki! Havina faida yoyote, vinalitia taifa hasara.! Upweke wa kukosa kazi unawafanya kuwa vituko kwenye jamii. Utaskia mkuu wa wilaya kakesha usiku akikamata maDJ kwenye bar. Vyeo hivi hakika vinahitaji kufutwa.
ulaya wakuu wa wilaya wapo lakini hakuna wakuu wa mikoa hata marekani vyeo vya wakuu wa mikoa vilifitwa kitambo havina faida kabsa mishahara ya wakuu wa mikoa ingeweza kujenga Hosptal za rufaa kila mkoa wanalitia Taifa hasara kubwa kuwahudumia .
 
H
hakuna shida mkuu isipokuwa kuleta undugu kwenye kazi napo hupunguza ufanisi Nadhani ulijifinza Kipindi cha Kikwete alijaza Ndugu na marafiki uliona nini kilitokea .
Kwani huyo ni ndugu yake? By the way Magufuli hanaga hizo. Aliwahi kumfunga mdogo wake kwa kuiba ng'ombe wa wazazi wake
 
Wewe unaelewa maana ya conflict of interest au unaleta ushabiki maandazi hapa. Huyo mteuliwa kwa misingi ya undugu anaweza akatumia madaraka vibaya kwa kuwadhulumu watu au kuwanyima haki kwa vile ameteuliwa kwa misingi ya nepotism. Hata kama anazo sifa, hakutakiwa kumpa nafasi kama ya ukuu wa wilaya ambayo ina uhusiano wa moja kwa moja na kazi ya "Baba" yake. Je atawatendea haki wapinzani wa "baba" yake? Je mkuu wa mkoa atakuwa na uhuru wa kumuwajibisha "mtoto wa raisi"?

Kama hii habari ni ya ukweli basi tukubaliane kuwa misingi ya utawala bora imekiukwa na ifikie wakati haya mambo yawepo kwenye katiba ya nchi.

we nae unamsemea kama nani?? we umejuaje kama atafanya ndivyo sivyo?? unauhakika gani kama atadhulumu?? tupunguzeni wivu acheni watu wafanye kazi
 
ulaya wakuu wa wilaya wapo lakini hakuna wakuu wa mikoa hata marekani vyeo vya wakuu wa mikoa vilifitwa kitambo havina faida kabsa mishahara ya wakuu wa mikoa ingeweza kujenga Hosptal za rufaa kila mkoa wanalitia Taifa hasara kubwa kuwahudumia .
Si kila kitu cha Ulaya na sisi tukifanye. Ndio maana wao wanaruhusu ndoa za jinsia moja ila hapa kwetu tumezipiga marufuku
 
we nae unamsemea kama nani?? we umejuaje kama atafanya ndivyo sivyo?? unauhakika gani kama atadhulumu?? tupunguzeni wivu acheni watu wafanye kazi
Mkuu, kuna watu wameangalia hawakuona mapungufu kwenye huu uteuzi. Sasa wameanza kuja na hoja dhaifu kama hizi
 
Kabla ya kuwa DC wa Kisarawe tunaambiwa dada huyu alikuwa Manager wa HR wa TANROADS Mkoa wa Tanga, ni mdada mdogo mwenye elimu ya Masters. Mwaka 2010 aligombea ubunge viti maalumu kupitia mkoa wa Geita lakini hakufanikiwa, mwaka 2015 alipumzika ili kuzunguka na baba kumtafutia kura
Dah.. Hii ni sifa tosha kabisa ya kuwa mkuu wa wilaya 🙂
 
Back
Top Bottom