Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Ukuu wa wilaya hauangalii elimu yako,uDC ni position ya kisiasa zaidi kwasababu sio mtendaji yeye ni mtekelezaji tu.Hata mm sioni shida wakati ni mtoto wa kumlea na Elimu anayo. Shida ni wale wakubebwa kwa kuangalia sura na makalio.
Hapo kazi ipo. Hata kama kampuni yangu ndio iliyokizi vigezo isipate tender?Neno conflict of interest hutumiwa ktk mazingira kama haya!
Ni kama issue za tenders, huwezi kuipa tender kampuni yako, au kumfanyia interview mwanao!
Anyway Magufuli sio wa kwanza!
Nyerere alikuwa na ndugu Kibao ktk uongozi! Mkapa alikuwa na washkaji wa kutosha, the same kwa kikwete ambaye hata ndugu walikula position!
Si sawa Ila alichofanya is not uncommon!
Wakuu wa Wilaya wa wapi hawa mkuuKabla hatujamwangalia Happy tuanze na Rose Kamili, Atropia, Ruth Mollel ............
Chakaza kwani wale watoto wa museven wana shida gani kama ishu ni qualification tu, sie tunasema ile kulelewa tu na mteuzi imemuondolea sifa kabisa. La sivyo hakuna tofauti na hao akina museven
CV bongo ? Tokea Lini cv za bongo zikawa bora ? Wenye cv bongo wengi ni shiiiida ! Kule bungeni Mwalimu wao wa siasa ni Livingston Lusinde kibajaji Hana CV hata moja, wenye cv akina Chenge, Tibaijuka, Kapuya na wenzao wamelifanyia nini Taifa ? Hata mwenye PHD mwakyembe alinunua mabehewa Feki na mjanja wa ccm mkuu wa maujanja , Uchakachuaji na kamati za Ufundi wa ccm January Makamba form six alipata zeroo... CV hazijawahi kukusaidia Taifa hili zaidi ya kutumika kupiga Dili tu.Usigeuze JF kuwa chungu cha majungu! Ongelea uwezo wake, sio uhusiano wake...ungejisikiaje kama ungekuwa wewe unaomba kazi sehemu afu unanyimwa simply because wewe una undugu na rais...tuletee CV na track record ya performance sio mijungu
Hata kama angekuwa amemzaa, shida iko wapi kama anakidhi vigezo..?!Isitoshe sio baba yake wa kumzaa shida iko wapi hapo?. Tatizo tunalolikataa wananchi ni kubeba mtu asiyebebeka...huyo dada anayo elimu nzuri tu...
hakuna shida mkuu isipokuwa kuleta undugu kwenye kazi napo hupunguza ufanisi Nadhani ulijifinza Kipindi cha Kikwete alijaza Ndugu na marafiki uliona nini kilitokea .Hata kama angekuwa amemzaa, shida iko wapi kama anakidhi vigezo..?!
ulaya wakuu wa wilaya wapo lakini hakuna wakuu wa mikoa hata marekani vyeo vya wakuu wa mikoa vilifitwa kitambo havina faida kabsa mishahara ya wakuu wa mikoa ingeweza kujenga Hosptal za rufaa kila mkoa wanalitia Taifa hasara kubwa kuwahudumia .Mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa ajibidiisheje? Wakati hivyo ni vyeo feki! Havina faida yoyote, vinalitia taifa hasara.! Upweke wa kukosa kazi unawafanya kuwa vituko kwenye jamii. Utaskia mkuu wa wilaya kakesha usiku akikamata maDJ kwenye bar. Vyeo hivi hakika vinahitaji kufutwa.
Kwani huyo ni ndugu yake? By the way Magufuli hanaga hizo. Aliwahi kumfunga mdogo wake kwa kuiba ng'ombe wa wazazi wakeH
hakuna shida mkuu isipokuwa kuleta undugu kwenye kazi napo hupunguza ufanisi Nadhani ulijifinza Kipindi cha Kikwete alijaza Ndugu na marafiki uliona nini kilitokea .
Wewe unaelewa maana ya conflict of interest au unaleta ushabiki maandazi hapa. Huyo mteuliwa kwa misingi ya undugu anaweza akatumia madaraka vibaya kwa kuwadhulumu watu au kuwanyima haki kwa vile ameteuliwa kwa misingi ya nepotism. Hata kama anazo sifa, hakutakiwa kumpa nafasi kama ya ukuu wa wilaya ambayo ina uhusiano wa moja kwa moja na kazi ya "Baba" yake. Je atawatendea haki wapinzani wa "baba" yake? Je mkuu wa mkoa atakuwa na uhuru wa kumuwajibisha "mtoto wa raisi"?
Kama hii habari ni ya ukweli basi tukubaliane kuwa misingi ya utawala bora imekiukwa na ifikie wakati haya mambo yawepo kwenye katiba ya nchi.
Si kila kitu cha Ulaya na sisi tukifanye. Ndio maana wao wanaruhusu ndoa za jinsia moja ila hapa kwetu tumezipiga marufukuulaya wakuu wa wilaya wapo lakini hakuna wakuu wa mikoa hata marekani vyeo vya wakuu wa mikoa vilifitwa kitambo havina faida kabsa mishahara ya wakuu wa mikoa ingeweza kujenga Hosptal za rufaa kila mkoa wanalitia Taifa hasara kubwa kuwahudumia .
Mkuu, kuna watu wameangalia hawakuona mapungufu kwenye huu uteuzi. Sasa wameanza kuja na hoja dhaifu kama hiziwe nae unamsemea kama nani?? we umejuaje kama atafanya ndivyo sivyo?? unauhakika gani kama atadhulumu?? tupunguzeni wivu acheni watu wafanye kazi
Kwahio kama amemlea na anazo sifa za kuteuliwa basi aachwe?
Ufipa nani kawalogaaaa...
Ufipa wamechanganyikiwa. Usiyempenda kajaKuna sehemu yeyote amesema aachwe? Unajishtukia eeh?
Dah.. Hii ni sifa tosha kabisa ya kuwa mkuu wa wilaya 🙂Kabla ya kuwa DC wa Kisarawe tunaambiwa dada huyu alikuwa Manager wa HR wa TANROADS Mkoa wa Tanga, ni mdada mdogo mwenye elimu ya Masters. Mwaka 2010 aligombea ubunge viti maalumu kupitia mkoa wa Geita lakini hakufanikiwa, mwaka 2015 alipumzika ili kuzunguka na baba kumtafutia kura