as1987
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 1,256
- 598
Mkuu, kuna watu wameangalia hawakuona mapungufu kwenye huu uteuzi. Sasa wameanza kuja na hoja dhaifu kama hizi
kweli kabisa, wangeteuliwa wao au ndugu zao wasingekuja na na hizi weak reasons.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kuna watu wameangalia hawakuona mapungufu kwenye huu uteuzi. Sasa wameanza kuja na hoja dhaifu kama hizi
Hata sioni tatizo kama sifa anazo
TOO MUCH EARLY TO SAY THAT BEST!Hongera sana kwa huyo mh. mkuu wa wilaya ya kisarawe ana juhudi sana na hakati tamaa mapema ndo maana alipokosa viti maalum bado alikuwa anapambana hvyo hvyo
Mkuu inabidi urudi darasani hujui nini maana ya conflict of interest. Mkuu wa wilaya ni mwakilishi wa rais wilayani. Unapozungumzia conflict of interest always Ina involves two parties. Sasa hiyo conflict of interest ni Kati ya Nani na nani
Aisee tafadhali, hayo mawazo sio ya kifipa! Wafipa tupo tumetulia hapa.Kwahio kama amemlea na anazo sifa za kuteuliwa basi aachwe?
Ufipa nani kawalogaaaa...
Kwani sifa za Ukuu W wilaya ni zipi!!!?Hata sioni tatizo kama sifa anazo
Kama ingekuwa ww unaishi na ndugu yako, sifa zoooooooote anazo, utaacha kumsaidia ?Mara baada ya uteuzi wa wakuu wa Wilaya uliofanyika na kutangzwa leo, jamii imeanza kuwachambua na kujuwa historia zao na ushiriki wao katika kumasaidia kazi Mh Rais.
Wananchi wamekuwa na shauku ya kumfahamu na kuelewa historia ya Mkuu wao mpya wa Wilaya Mh. Happy es Senenda William. Kabla ya kuwa DC wa Kisarawe tunaambiwa dada huyu alikuwa Manager wa HR wa TANROADS Mkoa wa Tanga, ni mdada mdogo mwenye elimu ya Masters. Mwaka 2010 aligombea ubunge viti maalumu kupitia mkoa wa Geita lakini hakufanikiwa, mwaka 2015 alipumzika ili kuzunguka na baba kumtafutia kura
Habari zinazidi kupenyeza kuwa Mh.Happyness William ni mtoto wa kulelewa na Rais JPM, amesomeshwa na Rais na amekuwa akiishi na JPM kwa maisha yake mpaka alipopata kazi. Kifupi Mh.Happyness ni "mtoto" wa JPM na kwa sasa ni DC wa Kisarawe
Ama hakika huu ni msimu wa vijana...Vijana mjiibidishe ili muonekane na mpate Wilaya au Mkoa.
2015 JPM angembebaje wakati yeye mwenyewe alikuwa anasubiri kubebwa? hulijui hilo?Mtoa uzi huna taarifa za kutosha, na hivyo sioni tija kuamini chochote ulichoandika. Mfano unasema 2015 hakugombea viti maalumu? Aligombea na alifika mpaka ngazi ya taifa dodoma. Kama mh JPM angetaka kumbeba alishindwa nini? Kimsingi sifa za U-DC Happy anazo hivyo acha majungu. Naona unajitesa "why nt me?"
Naona umbea ndo kazi sasaMara baada ya uteuzi wa wakuu wa Wilaya uliofanyika na kutangzwa leo, jamii imeanza kuwachambua na kujuwa historia zao na ushiriki wao katika kumasaidia kazi Mh Rais.
Wananchi wamekuwa na shauku ya kumfahamu na kuelewa historia ya Mkuu wao mpya wa Wilaya Mh. Happy es Senenda William. Kabla ya kuwa DC wa Kisarawe tunaambiwa dada huyu alikuwa Manager wa HR wa TANROADS Mkoa wa Tanga, ni mdada mdogo mwenye elimu ya Masters. Mwaka 2010 aligombea ubunge viti maalumu kupitia mkoa wa Geita lakini hakufanikiwa, mwaka 2015 alipumzika ili kuzunguka na baba kumtafutia kura
Habari zinazidi kupenyeza kuwa Mh.Happyness William ni mtoto wa kulelewa na Rais JPM, amesomeshwa na Rais na amekuwa akiishi na JPM kwa maisha yake mpaka alipopata kazi. Kifupi Mh.Happyness ni "mtoto" wa JPM na kwa sasa ni DC wa Kisarawe
Ama hakika huu ni msimu wa vijana...Vijana mjiibidishe ili muonekane na mpate Wilaya au Mkoa.
UmewaNi shedah, undugulization
Mara baada ya uteuzi wa wakuu wa Wilaya uliofanyika na kutangzwa leo, jamii imeanza kuwachambua na kujuwa historia zao na ushiriki wao katika kumasaidia kazi Mh Rais.
Wananchi wamekuwa na shauku ya kumfahamu na kuelewa historia ya Mkuu wao mpya wa Wilaya Mh. Happy es Senenda William. Kabla ya kuwa DC wa Kisarawe tunaambiwa dada huyu alikuwa Manager wa HR wa TANROADS Mkoa wa Tanga, ni mdada mdogo mwenye elimu ya Masters. Mwaka 2010 aligombea ubunge viti maalumu kupitia mkoa wa Geita lakini hakufanikiwa, mwaka 2015 alipumzika ili kuzunguka na baba kumtafutia kura
Habari zinazidi kupenyeza kuwa Mh.Happyness William ni mtoto wa kulelewa na Rais JPM, amesomeshwa na Rais na amekuwa akiishi na JPM kwa maisha yake mpaka alipopata kazi. Kifupi Mh.Happyness ni "mtoto" wa JPM na kwa sasa ni DC wa Kisarawe
Ama hakika huu ni msimu wa vijana...Vijana mjiibidishe ili muonekane na mpate Wilaya au Mkoa.
Hujui kitu wewe! Usisababishe watu wakamwaga hapa kisa kizima cha Huyo ndugu yake watu wakashika midomo bure! Tuyaache maana yalikuwa yao kindugu na walimalizana.Kwani huyo ni ndugu yake? By the way Magufuli hanaga hizo. Aliwahi kumfunga mdogo wake kwa kuiba ng'ombe wa wazazi wake